Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Kila kundi la watu zaidi ya watano bac ujue kuna mabadiliko ndani yake
 
Ndio maana washabiki wakanyanyua vodole juu na kuzungusha mikono
 
dah

kayumba anaimba hit song

ila fonabo anaimba mziki,na anaandika nyimbo zake

kayumba akishnda atapotea

fonabo either ashnde au asishnde
ANA HAZINA KUBWA INAHTAJI MSIMAMIZI TU tangu arusha nimeona hli

all the best fonabo

Peace xana dada yangu masai nimekuelewa sana tena sana...
 
Mimi nilimshangaa ila na nikaona na madame Rita kaliona mapema kijana ila neno lilimtoka hakumaanisha
 
Siza kachafua hali ya hewa. Siku hizi hata kwenye harusi hatutamki maneno haya
 
Kayumba ni moto wa kuotea mbaliii
kayumba anatumia ujanja wa wengi walioshinda bongo star search
KUIMBA HIT SONG
zaidi ya hapo hana mziki niamini atapotea kuliko j4,unamkumbuka walter chlambo? maryam aliyeshnda kwa taarabu?

alikua anaimba hit song za jahaz baada ya hapo umemuona?
 
Akil,za wabongo zmewekewa boundary kipnd hik
Ukiongea kitu chochote wanaingiza siasa za kipuuz
 
Mabadiliko muimu,hayakwepeki ndo mana yake.
 
Back
Top Bottom