Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Umemeza ukubwa wa bei ndo ubora wa bidhaa ...badilisha mtazamo..
 
Mkuu hamna kitu hapo..... Ukishaona simu inatumia processor yenye chip ya MTK basi achana nayo hapo hapo..... Ni takataka hizo simu
 
Kabisa mkuu...... Simu bora iwe na chip ya MTK upuuzi wa karne..... Jamaa anatazama housing ya sim eti eeeeein?!
 
Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .

High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
Shida ako nimegúndua hujui maana ya high end
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…