Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Uchambuzi wako ni sawa na kusema Yanga SC na Man City

Et Yanga kwenye VPL imepoteza mchezo mmoja wakati Man City kwenye EPL imepoteza michezo kibao

Yaani utuaminishe kwa uchambuzi huo Yanga ni bora kuliko Man City

Infinix ni Tecno ndio hao hao kina Itel na wengineo toka lini MTK ikawa bora sokoni,, au tufanye hiviii bei zake zipoje, je, simu zinalingana bei? kama moja ina bei kubwa ni kwann?
Umemeza ukubwa wa bei ndo ubora wa bidhaa ...badilisha mtazamo..
 
Mkuu hamna kitu hapo..... Ukishaona simu inatumia processor yenye chip ya MTK basi achana nayo hapo hapo..... Ni takataka hizo simu
 
Uchambuzi wako ni sawa na kusema Yanga SC na Man City

Et Yanga kwenye VPL imepoteza mchezo mmoja wakati Man City kwenye EPL imepoteza michezo kibao

Yaani utuaminishe kwa uchambuzi huo Yanga ni bora kuliko Man City

Infinix ni Tecno ndio hao hao kina Itel na wengineo toka lini MTK ikawa bora sokoni,, au tufanye hiviii bei zake zipoje, je, simu zinalingana bei? kama moja ina bei kubwa ni kwann?
Kabisa mkuu...... Simu bora iwe na chip ya MTK upuuzi wa karne..... Jamaa anatazama housing ya sim eti eeeeein?!
 
Infinix Hot 10 Play haijawahi kuwa high End .

High end ni kina Sam S21 &Co.. (Flagship)
Mimi nimeshatumia hizo Infnix, Tecno vizuri kabisa lakini amini amini nakwambia hizo ni upupu tu ndio mana nikahama na sina mpango wa kurudi huko
Shida ako nimegúndua hujui maana ya high end
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom