Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Mimi nataka vithibitishwe kwa ushahidi wa kisayansi tuende kuchukua Nobel prize hapo ndani ya Stockholm.Sio kila siku tunasikia wazungu tu wanachukua nishani kumbe wataalamu tunao.
Sayansi ya wapi inatumika kuthibitisha mambo ya kiroho roho?
 
Believing in such myths may lead to seeing a phantasmagoria of strange creatures even in broad daylight, which is in essence, a sign of mental illness.

Limbwata may very well be a more complex explanation of for a simple case of a woman ezcelling in some skills, culinary, bedroom or otherwise.
 
Teh teh tehe!!
Inawezekana huyu jamaa anatokea sayari ya puruto, wana JF wameshaanza kum refer as "extraordinary"

Nadhani ni viwango vya ufahamu wa watu tu kuliko yeye (@Kiranga) kutokea sayari ingine. Humu JF kuonwa wewe ni alien au kuonwa wewe ni kichwa (whatever that means) doesn't take much.
 
inategemea na msingi wa penzi/ndoa yenu mlikoanzia kulikuwaje...unakuta watu mnapendana,mnaheshimiana,mnaenziana na kusaidiana kwa hali na mali...nadhani hiyo ni aina bora zaidi ya limbwata..huko kutoana ufahamu ndani ya nyumba ni mambo ya kishirikina tu.
 
Kwa hiyo hii kitu inaexist
 
Teh teh tehe!!
Inawezekana huyu jamaa anatokea sayari ya puruto, wana JF wameshaanza kum refer as "extraordinary"

Who said 'extraordinary'? Btw nliyesema hayo ni mimi...'wanajf' wameingia vipi hapo?
 
Mie kama weye, hakuna dawa ya mapenzi banaaa! Baadhi ya wadada wanafanya hili kwa kuamini watapendwa sana, matokeo yake jamaa linapumbazwa linakuwa zezeta tu.

Ndo maana tunaambiwa tuna IQ ndogo kwa ajili ya mambo haya
 
Unaji limbwata mwenyewe na tamaa zako. Ila nasikia tu, eti ndani na nje ya ndoa unarogezewa
 
Back
Top Bottom