Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,142
- 124,737
io sio limbwata ni ulimbukeni wa mapenzi....
Huwa nashindwa kuelewa hili neno 'ulimbukeni wa mapenzi'
io sio limbwata ni ulimbukeni wa mapenzi....
Hapo nilitaka kukupa fact wewe ambaye hujaingia kwenye ndoa bado kuwa tunaona huruma tu kuweka wazi kuwa tuna sauti...te te te...lakini wanaume wengi hawafurukuti kwa wake zao...wanajitutumua mitaani tu kwa sababu ndio definition ya kuwa mwanaume...
Hata mimi ndo huwa najiuliza....kama sio limbwata alikuwa na matatizo gani?
Unamfundisha mtu kutengeneza sumu ya kukuulia lol
miss neddy ni usingizi wanguWapi....am dying to know...lol
ata me huwa nalitumia tu....ila nahisi moja ya maana yake ni hicho kisa ulichokitoa hapo juuHuwa nashindwa kuelewa hili neno 'ulimbukeni wa mapenzi'
miss neddy ni usingizi wangu
ya dr. na mkewe salma vile eeh!?[hata alefuatia] unayajua we?
ni mambo ya ndani ati!.....tumwache dr. wa watu!
Nakuja kuleee....
Wapi....am dying to know...lol
Habari zenu Great thinkers.
Najua wapo watu ambao hawaamini kwamba katika mapenzi kuna kitu kinaitwa limbwata. Hata mimi nilikuwa siamini kabisa kuhusu hili suala lakini hivi karibuni nimeamini.
Nlikuwa naishi kwenye mkoa mmoja hivi miaka kama miwili au mitatu iliyopita.
Katika kijiji kile alikuwepo baba mmoja mwenye mke na watoto wanne.
Huyu baba alikuwa mtu wa heshima na pesa zake za kumtosha kubadilisha mboga....kifupi ni kwamba hakuwa na dhiki.
Mke wake sasa.....alikuwa ni kicheche balaa....alikuwa anagawa utadhani sio mke wa mtu. Ilifika hatua akawa anatoka na kijana mmoja jirani tu na nyumbani kwake na huyo kijana alikuwa na mkewe kabisa.
Basi ilikuwa yule kijana akimfuma yule mwanamke na mwanaume (hawara mwingine) anamshushia kipigo hadharani....siku nyingine kamdunda weee akamburuza hadi nyumbani kwake akafika getini kamsukumizia ndani....na mumewe yupo ndani!
Nilikuwa napata shida najiuliza hivi huyu baba ni mzima kweli? Maana katika kipindi chote sikuwahi kusikia ana mgogoro na huyo mkewe mzinzi.... Siwezi kusema hana akili timamu maana majukumu yake ya kiofisi alikuwa anayatekeleza vizuri kabisaa.
Eti wana MMU nisaidieni kama hili sio limbwata basi ni kitu gani? Siwezi kukubali kwamba eti ilikuwa ni ndoa ya kawaida hii.
Wewe mwenzangu huko mtaani kwako umewahi kukutana na matukio kama haya?
Pasco hebu tufafanulie hapa na dr MziziMkavu hapa vip?
tinna cute, kuweka notice hapa ni kinyume na maadili, kuna U18 humu, huwa hawana subira hata kidogo!Toa notice hapa kwa faida ya wote
![]()
Limbwata ni Dawa ya mapenzi Mwanamke anamfanyia Mume wake au mpenzi wake. Limbwata ni aina ya dawa Mke au Mwanamke anapewa na Mganga ili aweke kwenye Papuchi yake huyo Mwanamke kwa muda fulani kisha anammtilia Mume wake hiyo Dawa ndani ya chakula akila tu huyo mume anakuwa amelewa kimapenzi na anakuwa mume akili yake kama kondoo na anakuwa kila anachoambia na mke wake anamsikiliza. Hiyo ndio Maana ya Limbwata kwa Wakazi wa Mjini wa Tanga wanaijuwa hiyo dawa ya Limbwata. Dawa hiyo ninajuwa sana.