Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

All supernatural activities need to be reduced to an empirical proof in a reproducible way emulating peer reviewed scientific research to be considered existing by sane minds, in essence, the reduction amounts to a proof that constitutes reducing the supernatural to the natural.

In other words, until proven, supernatural activities are more mythical than factual. Once proven, they are no longer supernatural but merely natural.
 
kuna dawa moja inaitwa MTULIZA nimekutana nayo mkoa wa katavi ni shida sana ,sasa hii wanao itumia asilimia kubwa ni wanaume kuwa tuliza wake zao
 
Asante mkuu Kiranga kwa mchango wako....btw nlikuwa naongea na ordinary pipo sio watu kama wewe
 
Last edited by a moderator:
kuna dawa moja inaitwa MTULIZA nimekutana nayo mkoa wa katavi ni shida sana ,sasa hii wanao itumia asilimia kubwa ni wanaume kuwa tuliza wake zao

Heeee....hadi wanaume wanatafuta invisible mechanism za kutuliza wake zao lol
 
Hivyo vitu vipo na vinafanya kazi sana tu lakin huwa inafika wakati nayo yana expire

Mimi nataka vithibitishwe kwa ushahidi wa kisayansi tuende kuchukua Nobel prize hapo ndani ya Stockholm.

Sio kila siku tunasikia wazungu tu wanachukua nishani kumbe wataalamu tunao.
 
LIMBWATA.jpg

Limbwata ni Dawa ya mapenzi Mwanamke anamfanyia Mume wake au mpenzi wake. Limbwata ni aina ya dawa Mke au Mwanamke anapewa na Mganga ili aweke kwenye Papuchi yake huyo Mwanamke kwa muda fulani kisha anammtilia Mume wake hiyo Dawa ndani ya chakula akila tu huyo mume anakuwa amelewa kimapenzi na anakuwa mume akili yake kama kondoo na anakuwa kila anachoambia na mke wake anamsikiliza. Hiyo ndio Maana ya Limbwata kwa Wakazi wa Mjini wa Tanga wanaijuwa hiyo dawa ya Limbwata. Dawa hiyo ninajuwa sana.

Hiyo picha yenyewe inaonyesha jinsi gani bidada anajua kukoleza...jamaa anafua huku anapata massage...nani atakataa hiyo kazi...kufua tu? watu wanachota maji na kupika...te te te...unachezea mikolezo wewe...
 
Habari zenu Great thinkers.

Najua wapo watu ambao hawaamini kwamba katika mapenzi kuna kitu kinaitwa limbwata. Hata mimi nilikuwa siamini kabisa kuhusu hili suala lakini hivi karibuni nimeamini.

Nlikuwa naishi kwenye mkoa mmoja hivi miaka kama miwili au mitatu iliyopita.

Katika kijiji kile alikuwepo baba mmoja mwenye mke na watoto wanne.

Huyu baba alikuwa mtu wa heshima na pesa zake za kumtosha kubadilisha mboga....kifupi ni kwamba hakuwa na dhiki.
Mke wake sasa.....alikuwa ni kicheche balaa....alikuwa anagawa utadhani sio mke wa mtu. Ilifika hatua akawa anatoka na kijana mmoja jirani tu na nyumbani kwake na huyo kijana alikuwa na mkewe kabisa.

Basi ilikuwa yule kijana akimfuma yule mwanamke na mwanaume (hawara mwingine) anamshushia kipigo hadharani....siku nyingine kamdunda weee akamburuza hadi nyumbani kwake akafika getini kamsukumizia ndani....na mumewe yupo ndani!

Nilikuwa napata shida najiuliza hivi huyu baba ni mzima kweli? Maana katika kipindi chote sikuwahi kusikia ana mgogoro na huyo mkewe mzinzi.... Siwezi kusema hana akili timamu maana majukumu yake ya kiofisi alikuwa anayatekeleza vizuri kabisaa.

Eti wana MMU nisaidieni kama hili sio limbwata basi ni kitu gani? Siwezi kukubali kwamba eti ilikuwa ni ndoa ya kawaida hii.
Wewe mwenzangu huko mtaani kwako umewahi kukutana na matukio kama haya?

Mume anayo mahaba niuwe kwa mkewe. Hata wee uni familia zngne watoto waarabu nk na mume haangaiki katulia tulii analea familia yake.
 
Hiyo picha yenyewe inaonyesha jinsi gani bidada anajua kukoleza...jamaa anafua huku anapata massage...nani atakataa hiyo kazi...kufua tu? watu wanachota maji na kupika...te te te...unachezea mikolezo wewe...
Nauliza swali? Mkeo akikwambia mfulie kufuli zake zenye Damu za siku zake za mwezi Je utaweza kumfulia?
 
Believing in such myths may lead to seeing a phantasmagoria of strange creatures even in broad daylight, which is in essence, a sign of mental illness.
Unajua Ngabu, nchi masikini na zenye mfumo mbovu wa elimu ndizo zinaongoza kwa kuamini ushirikina na vitu kama limbwata.
Nadhani kuna uhusiano wa moja kwa moja hapa.

Juzi CNN walifanya utafiti wakagundua kuwa 97% ya watanzania wanaamini ushirikina, Kenya na nchi zingine za Afrika mashariki, ni chini ya 50% ya wananchi wake ndio wanaamini ushirikina, sikushangaa. Katika taifa ambalo 90% ya wanafunzi wake wanapata sifuri mtihani tutegemee nini?(kwangu hata division four ni failure tu).

Kuamini ushirikina au limbwata, kunaendana na uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Nauliza swali? Mkeo akikwambia mfulie kufuli zake zenye Damu za siku zake za mwezi Je utaweza kumfulia?
Mkuu Mzizi Mkavu with due respect, mimi mke wangu namfulia tu na hakuna limbwata wala uchawi hapo, nitakuwa tu nimeamua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom