Hiyo ya kinyama huyo mwanamke atakuwa haoshi hiyo K yake? Maana umesema siku kadhaa anakuwa amekihifadhi hicho kinyama. Ukitaka mwanaume usipewe limbwata kuwa na wanawake wengi tu nguvu zitagongana na kurepel
Mhhhhh?Kazi yote ya nini?Kama upendo upo hakuna haja ya yote hayo
Umesahau moja inaitwa MAOMBI; hapa hasa ni kwa wale imani yao..! Huenda kwa mtumishi wa Mungu huombewa na roho mtakatifu uwapiga upofu waume zao wasione wanawake wazuri na badala yake mume humwona mkewe ni bora kuliko wote. Njia hii ni bure haigharimu chochote.
hii balaaa sasa!!! wachepukaji hali mbaya!!
Mkuu kapalamsenga huwa iko hivi, mwanamke anaambiwa na mganga kwa mf. hiki kinyama kikae kumani kwa siku 5, na anaambiwa achague labda kukiweka kutwa nzima, basi jioni anakitoa na anaosha K! anaweka kukiweka usiku, na asubuhi anaosha kumani! Si kwamba kinakaa 24 hrs
Kwa siku zote hizo lazima kinyama kitoe harufu mbaya!
lakini hii si kwa mchepukaji its means hata mke wa ndoa anaweza kengeuka akakufanyia tu,..!!tena sio kidogo mkuu! ni hatari sana!
na ndo mwisho wa mambo yote
lakini hii si kwa mchepukaji its means hata mke wa ndoa anaweza kengeuka akakufanyia tu,..!!
Hii ya kinyama inapendwa sana hata uchagani anaweka kinyama kwenye k kinakaa siku tatu hafu wanadai ili likolee lazima upike na mboga ya majani hapo mwanaume hufuruki ila nyingine ya kumnenea usiku wa manane na kumpiga mqanaume upofu asione wengine ni wewe tu hii ni nzuri haina madhara unaweza ukamfungua mwenyewe ila ya mganga inaweza kumfanya mwanaume zuzu kabisa
Mkiu ni hivi, hiyo akili ya kumtanguliza mtu kwa muumba, hutakuwa nayo kwa vile ushatengenezwa!Mi nikila kinyama hakyanani siku ya pili mkija nyumbani hamnikuti kwa sababu nitakuwa nimeanza kula ugari wa bure Segerea kwa sababu nitakuwa nimeshamtanguliza mtu mbele za haki.
Mokoyo hapana, ama niseme sijui. Nilikuwa namsaidia kirumonjeta kuwaita hao wadada, yeye ndiye wa kwanza kuwataja hapa, mii nikamsaidia kuwaita tu!