nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Imani tu!
Bila imani hakuna matendo
Imani tu!
Kuna tofauti gani kati ya mtu kudata kwenye mapenzi kwa mwenzake na limbwata?
limbwata lipo sana
Na wewe umeona eeh?
mi natafuta limbwata mwenye ujuzi anipm
limbwata ni kama imani ya uchawi,na kama huamini mambo ya uchawi na huyawazi hayana nguvuKwa hiyo unataka kuniambia huyo baba alikuwa amedata kwa mkewe?
hamna haja ya limbwata kwako,mapenzi ya kawaida yanatoshami natafuta limbwata mwenye ujuzi anipm
mi natafuta limbwata mwenye ujuzi anipm
ni mapenzi tu hayo... hamna limbwata asee!!! mahaba niue, mtu anapewa kila kitu kwanini asiweuke...
Limbwata lipo kitheory zaidi! Tatizo ni akili mbovu ktk mapenzi, kumkuta mtu uko vizuri ktk utendaji wake wa kazi za kiofisi haimanishi ni mzuri ktk ndoa au mahusiano yake kimapenzi!
Kuna me ni mapoyoyo sana!