Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Mwanamme asiyekuwa na uhakika wa kumtimizia mkewe ni shida sana. Kama alimpata huyo mwanamke kwa kutishwa kuachwa basi kila siku hatathubutu kumwuliza ulikuwa wapi. Miaka inapozidi kuyeyuka ndivyo hofu ya kuachwa inaongezeka. Kidume miaka 20+ hajawahi kumvua mwanamke pichu. Akiija kukutana na kicheche si ndiyo anamfia?
Mjamaa mmoja alioa, siku ya ndoa usiku akapiga kelele, nimeua, nimeua, akidhani ametokezea nje upande wa pili wa mtu kuona alivyozama. Huyu unategemea aweze kutongoza mwingine?? Hakuna limbwata.
 
Kabisa Mkuu watu wanapoteza muda wao chungu nzima kwa mambo haya ya kijingakijinga na pesa chungu nzima. Hata waheshimiwa wazito kabisa Serikalini inabidi "wakatengenezwe" kabla ya uchaguzi ili waongeze uwezekano wa wao kuchaguliwa. Kuna taasisi moja ya US kama sikosei miaka mitatu au minne ilifanya utafiti katika baadhi ya nchi za kiafrika ikiwemo Tanzania na Nigeria kuhusiana na kujishughulisha na mambo haya ya kishirikina. Katika tafiti ile Tanzania ndio tulichukua nafasi ya kwanza, matokeo ya tafiti ile yaliwekwa hapa jamvini.

Ndo maana tunaambiwa tuna IQ ndogo kwa ajili ya mambo haya
 
Who said 'extraordinary'? Btw nliyesema hayo ni mimi...'wanajf' wameingia vipi hapo?
"extraordinary" ni tafsiri yangu isiyo rasmi ya yule asiye "ordinary people"
WanaJF mkuu ni wewe na mimi, kwa hiyo tukitoa suggestion inakuwa refered to as Wana JF.
 
Then what?? Elimu yako inakuwa imekusaidia nini?

Mambo ya elimu kwenye mapenzi wapi na wapi.... Hivi huoni kama ni raha hiyo? Ukimwambia nataka gari anaenda kukomba hela zake zote....ukisema marufuku kwenda baa anakaa ndani. Ukimwambia naenda kitchen party ntarudi kesho asubuhi hana neno....khaa raha kwelikweli
 
Mambo ya elimu kwenye mapenzi wapi na wapi.... Hivi huoni kama ni raha hiyo? Ukimwambia nataka gari anaenda kukomba hela zake zote....ukisema marufuku kwenda baa anakaa ndani. Ukimwambia naenda kitchen party ntarudi kesho asubuhi hana neno....khaa raha kwelikweli

Hujui hata unachokiongea. Do you read yourself??
 
Si kwamba watu hawaendi kwa waganga kutafuta dawa ya mapenzi...wanaenda na vibao vipo kila kona...issue ni kama hizo dawa zina work au wanacheza na saikolojia za wateja wao...inawezekana prescription tu ndio inatenda maajabu....mfano ukiambiwa muwekee maji ya moto mumeo kila siku afu pika chakula kizuri, hakikisha unapika mwenyewe...hapo utasema dawa kumpe mkolezo...

Kuna mama mmoja tulikuwa jirani nikiwa bado kwetu; watu walikuwa wanasema kamroga mumewe kwa sababu huyu mama ni bad news...anatembea na vijana wadogo mtaani; mume haoni hasikii...

Lakini yule mama alikuwa na qualities fulani za kipekee...ukimsikia anaongea na mumewe utasema wako kwenye 6X6...ni full kubana pua na vikorombwezo vingine...japokuwa ni mmanyema na ndio kilichowaaminisha watu kuwa ni limbwata
 
Si kwamba watu hawaendi kwa waganga kutafuta dawa ya mapenzi...wanaenda na vibao vipo kila kona...issue ni kama hizo dawa zina work au wanacheza na saikolojia za wateja wao...inawezekana prescription tu ndio inatenda maajabu....mfano ukiambiwa muwekee maji ya moto mumeo kila siku afu pika chakula kizuri, hakikisha unapika mwenyewe...hapo utasema dawa kumpe mkolezo...

Kuna mama mmoja tulikuwa jirani nikiwa bado kwetu; watu walikuwa wanasema kamroga mumewe kwa sababu huyu mama ni bad news...anatembea na vijana wadogo mtaani; mume haoni hasikii...

Lakini yule mama alikuwa na qualities fulani za kipekee...ukimsikia anaongea na mumewe utasema wako kwenye 6X6...ni full kubana pua na vikorombwezo vingine...japokuwa ni mmanyema na ndio kilichowaaminisha watu kuwa ni limbwata

Hahahah umenikumbusha hadithi moja nlisimuliwa na sista..... Wanasema kuna mama mmoja alikuwa anadundwa kila siku na mumewe. Jirani yake mmoja katika kuchuchunguza akagundua kinachomfanya yule mama apigwe.....akamwambia twende nikupeleke kwa mganga akupe dawa....mumeo hatothubutu kukupiga. Wakaenda kwa mganga akapewa dawa akaambiwa changanya na maji...mumeo akifika tu we unakunywa ila baki nayo mdomoni hadi mumeo atakapotulia. Bas yule mama akafanya hivyo...mumewe akirudi hata angemfokea hawezi kujibu maana ana maji mdomoni.....hadi dozi inaisha mumewe hakuwahi kumpiga. Kumbe yule jirani aligundua kinachomponza ni mdomo...ndio maana alikuwa anadundwa
 
Wanawake / Mabinti baadhi wamekuwa watumiaji wazuri wa limbwata kama sehemu ya kuongeza chachu ktk mahusiano yao ya mapenzi. Zifuatazo ni baadhi ya teknolojia maarufu ama niseme pendwa za limbwata. Waweza kuongeza yoyote ile uijuayo:

Kinyama

Hii kitu kuna siku Mkuu MziziMkavu aliielezea vizuri tu. Katika hili, kipande kidogo cha nyama mfano wa mnofu mmoja wa "mshikaki" huwekwa katika maku ya mtaka tiba, kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mganga husika "fundi", baadae kinyama hiki hupikwa na sehemu nyingine ya kitoweo kama mboga na kuliwa. Mlengwa wa limbwata ataathirika mara tu baada ya kula mlo uliohusiha mboga yenye kinyama hiki! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alielishwa kinyama

Maji ya mchele:

Hii ni aina nyingine ya teknolojia ya limbwata. Ni kwamba kwa kutumia njia hii, maji ya kawaida hupelekwa kwa mganga kwa ajili ya kazi husika, na kisha maji hayo hurudishwa nyumbani, mwanamke mhusika huyatumia maji ya dawa haya kuoshea maku na baadae huyatumia kuoshea mchele ama hata kupikia kabisa! Limbwata hili hufanya kazi kwa mlengwa baada ya mlengwa kula chakula kilichopikwa kwa maji tajwa! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alienyeshwa maji hayo, na kwamba ili kumuagua lazima apatikane fundi Yule Yule aliefanya yake!

Kisomo:

Nyingine. Hii haisemwi sana, ni kama siri kubwa, huwa haijulikani hasa ni aina gani ya "kisomo" hufanyika lakini wateja na wafuasi wa limbwata la aina hii wanakiri kuwa, mwanaume aliesomewa (msomaji ni fundi "mganga") huwa ni zaidi ya kondoo, kwa maana ya kuwa maisha yake yote yaliyobaki yanakuwa ni yale ya "ndio mzee" kwa mwanamke alietengeneza! Wanaoipenda njia hii wanasema sio nzuri sana kwa vile fundi mwingine yoyote anaweza akafanya kisomo kinyume.

Kifaranga:

Hapa mwanamke mhitaji huagizwa na fundi kupeleka kifaranga, na mara nyingi ni cha kuku. Fundi humfanyia kazi Kifaranga huyu katika karakana yake, namna fundi anavodili na kifaranga hiki ndio ndio kazi halisi ya kumuinamisha mme ama mpenzi wa mtu, kifaranga huyu hubaki ktk himaya ya fundi kwa maisha yake yote, na namna kifaranga huyu anavolelewa na huyu fundi, na kufuata anavotaka mfugaji, ndio hivo hivo mlengwa atakavopelekwapelekwa! Njia hii inachangamoto moja kubwa, usalama na uhai wa kifaranga huwa ni tatizo, na iko subjected to frequent updates!

Jina kuning'nizwa juu ya mti:

Hii inafanana na kisomo. Tofauti ni kwamba, baada ya fundi kufanya kazi yake, huku jina la mlengwa likiwa limenuiwa, karatasi lililoandikwa jina hili (jina la mwanaume mlengwa) huenda kuning'inizwa katika moja ya mti mrefu ambao ni sharti uwe mbali na wanapoishi wapenzi ama wanandoa hao, wakati mwingine inahusisha mkoa mmoja hadi mwingine! Wanasema kusipokuwepo na upepo, mwanaume huwa mjanja mjanja, lkn upepo ukivuma kidogo tu, mwanaume huyu akili huruka na kumuwaza aliemtengeneza! Ili upone kutoka katika limbwata hili, lazima huu mti utafutwe na kikaratasi kikatwe, ndio utapona!

Kaburi la mtoto

Hapa kuna vitu hufukiwa. Kama ilivo limbwata la hapo juu, limbwata hili linahusisha madawa na majina ya mlengwa. Kaburi husika hutafutwa maeneo ya mbali sana. Madawa na majina ya mlengwa hufukiwa katika kaburi la mtoto. Hapa huponi mpaka kaburi lipatikane na kazi ifanyike hap!

Unyayo kucha ama kinywele:
Hapa kuna mchanganyiko wa ufundi unaotumika. Wapo wanaotumia mchanga wa unyayo, wapo wanaotumia kipande cha v.u.z.i, wengine hutumia hata c.h.u.p.i ya mlengwa, lakini yote kwa yote ni kwamba fundi atadili na mlengwa kutumia aina mojawapo ya nyenzo hizi! Mafundi wengi inasemekana ni wataalamu wa kuagua wahanga wa njia hii!
 


Kinyama

Hii kitu kuna siku Mkuu MziziMkavu aliielezea vizuri tu. Katika hili, kipande kidogo cha nyama mfano wa mnofu mmoja wa “mshikaki” huwekwa katika maku ya mtaka tiba, kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mganga husika “fundi”, baadae kinyama hiki hupikwa na sehemu nyingine ya kitoweo kama mboga na kuliwa. Mlengwa wa limbwata ataathirika mara tu baada ya kula mlo uliohusiha mboga yenye kinyama hiki! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alielishwa kinyama
Hii imeshika usukani maeneo ya Bukoba Mjini na viunga vyake, according to my experience.

Kuna wanafunzi wenzangu wengi tu mpaka tunahitimu kidato cha sita na wengineo wa kidato cha nne, wameshalishwa hii kitu na shule ikawashinda!

Yani machiz wangu kibao tu walikuwa wanaletewa menyu za maana sana wakati tuko bweni, basi wanazigonga wakisifia madem zao kuwapenda kishenzi! kumbe hiyo ni mitego tu mingine!

Aisee Bk kwa maoni yangu ni hatari kwa hii kitu!

waulize hata wenyeji watakwambia!
Mpaka naondoka Bk mwaka 2012 niliogopa sana kuanzisha mahusiano na binti yeyote yule kuhofia kugeuzwa zoba na kuharibu masomo yangu! dah, hii kitu ni mbaya sana asikwambie mtu...
 
Hivi hizi silaha huweza pia kutumiwa na mwanaume ili kumfuga mwanamke?
 
Aisee hii kali kwa kweli hebu wenye uzoefu waje hapa hasa dada zetu,miss chaga,heaven on earth na wengine leteni maujuzi please!!!
 
Haya mambo ya Dunia,siye tunasubiri kunaswa na mitego ,,,,,,ila tumeshakwepa mishale mingi msituni
 
Umesahau moja inaitwa MAOMBI; hapa hasa ni kwa wale imani yao..! Huenda kwa mtumishi wa Mungu huombewa na roho mtakatifu uwapiga upofu waume zao wasione wanawake wazuri na badala yake mume humwona mkewe ni bora kuliko wote. Njia hii ni bure haigharimu chochote.
 
Hiyo ya kinyama huyo mwanamke atakuwa haoshi hiyo K yake? Maana umesema siku kadhaa anakuwa amekihifadhi hicho kinyama. Ukitaka mwanaume usipewe limbwata kuwa na wanawake wengi tu nguvu zitagongana na kurepel
 
Back
Top Bottom