Heshima kwako mkwe.
Tanzania kuna makabila mengi mimi naomba kuuliza kuna aina ngapi za Hii kitu inaitwa Limbwata???
Kwetu ka kabila yetu kuna kitu kinaitwa!!"SHUNTAMA OGENDE OGARUKE"Hii ukipewa unashahau hata JINSIA YAKO!!!
Je kwenu mna nini???Je Limbwata la wapi kali??
Mkwe msomi hana muda mchafu,
anajua what is love
na what to hate.
au uliwahi kuona msomi akienda kwa kalumanzila.
limbwata kiuno chako na koni tulikipatikana limbwata kali kuliko yote..nielekezeni namna ya kulipata...for future use..sio saa hii
limbwata kiuno chako na koni tu
limbwata kiuno chako na koni tu
wewe unatumia?
nawakilisha with experience ,hata leo nimetumia hahahaahahah na nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.wewe unatumia?
Mie ninazo limbwata..Nauza lkn
nawakilisha with experience ,hata leo nimetumia hahahaahahah na nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
La aina gan? Hvi hata wanaume huwa wanawapa limbwata wanawake?
Nilijua nimepewa limbwata kumbe manyago ndo yananizezetesha!!:yo::A S 39::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:limbwata kiuno chako na koni tu
Wewe niambie kama unataka nikupe formula...Unataka umuwekee umpendae au unataka akupendae ndio akuwekee wewe?
wanaume wanawekaje Limbwata?
Kila mtu lazima awe na limbwata kwa mpenziwe...lkn kuna limbwata TAKATIFU.Sasa hapo wanawekaje inabid ulipie kwanza
Kila mtu lazima awe na limbwata kwa mpenziwe...lkn kuna limbwata TAKATIFU.Sasa hapo wanawekaje inabid ulipie kwanza
limbwata takatifu?..mtu hawi zezeta ryt?..nalitaka Zion daughter...4 future use