Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Ahahahaa.Limbwata ni zuri sana.Ndilo linalowafanya watu waulize mbona baba na mama fulani hatuwasikii kugombana kila siku wanacheka tu,au mbona hawa wenzetu wanamaendeleo n.k n.k.Sidhan kama limbwata ni nzuri hata liwe takatifu.
Hakuna ndoa isiyohitaji limbwata mie nakuambia vinginevyo ndo mambio ya nyumba ndogo na vidumu kwa wingi. mimisa nitafute kwa wakati wako nikuelekeze kwa kupata Limbwata takatifu
Last edited by a moderator: