Mmmnh...,!! we unamuona ni mrembo yule..!??, sipendi kubakwa uzeeni huku mie.. ndo maana nikasepa, ni gubegube yule...
mmmh
yaishe.
unajidai eh?Tatizo anataka kwenda sawa na vibinti usawa huu wakati mzee mzima nataka kwenda kiutu uzima, hataniweza
unajidai eh?
hantaki tena,anasema nimechacha,kanambia siku nikipata tena hela nimtafuterudi tu kwa The secretary.
maswali yako yanakuwa magumu kwangu.
unaenda wapi? Nitakufuata huko hukoNahama hapa
kopi: MamndenyiNiitie mke wangu KOKUTONA tafadhali......
hayakuhuu