Denial ni mojawapo ya dalili. njoo tukupeleke sumbawanga wakasafishe.limbwata...!! ndio nini? mimi nimekaa uswahilini muda mrefu ila sijawahi kuona hiyo kitu...
Denial ni mojawapo ya dalili. njoo tukupeleke sumbawanga wakasafishe.
Denial ni mojawapo ya dalili. njoo tukupeleke sumbawanga wakasafishe.
3. Kuweka avatar ya vitoto vikiwa vimevaa vyupi tu.
Hivi wanawake hawapewagwi limbwata jamani? Mnistulie Paw anilishe na mie.
Kwanza mnajua limbwata linavyotengenezwa?nimwage hapa au mta ni pm
ah, mi nimeku-CC tu niliona huu uzi utaupendaHii cc ina maana umepewa limbwata na unahitaji msaada tukusaidie sio? lol
ah, mi nimeku-CC tu niliona huu uzi utaupenda
hivi wanawake nao wanapewa limbwata???