Teh teh sasa mtu si anaenda akiamini ndio anapata solusheni huko, kumbe anaambiwa afanya yanayompasa
Teh teh sasa mtu si anaenda akiamini ndio anapata solusheni huko, kumbe anaambiwa afanya yanayompasa
Limbwata ni Mlenda ukipikwa na kitunguu saumu na mdalasini................................
mtu anaechemshwa kwenye mtungi huyo ni kiboko hata ukaenda wap humwez ng'oooKwani wa kigoma wana nini?
sawa mkuu,nakubaliana na hayo japo sijui kiviiileeeVaislay,
Limbwata ni uchawi/ushirikina kama ulivyo ulozi mwingine. Kama huamini, hata ungesimuliwa usiku kucha hutaelewa!!
Babu DC!!!
umesahau,anatumbukizwa mjusi/chura na vingine ambavyo ukigundua ulilishwa kama n mke unamwacha na kumchukia daimaLimbwata ni Mlenda ukipikwa na kitunguu saumu na mdalasini................................
Mbona mie nimejiwekea limbwata? Najipeenda kila weekend najita out.
Limbwata ni dhana kama jini mahaba, iko kichwani mwa mhusika tu.
may be bangi we sio mzma
Chezea limbwata hata kama unafanya kzi ya aina gani!!Mh sisi kwetu libwata ni kazi zuri tu hakuna madawa.
Mh sisi kwetu libwata ni kazi zuri tu hakuna madawa.
Ndo jina lake"Lanjegere"??au
Madame B nije unipe nikamuwekee loya atulie na mimi tu?iwe siri yako lakini
Mh sisi kwetu libwata ni kazi zuri tu hakuna madawa.
Ndio uloniwekea?sisi kwetu lipo linaitwa "chejo".....
Na wewe unahangaika maana wote wakikuweka lazima uwe zezeta!!Ndio uloniwekea?