Tunaomba mdahalo wa Lowassa na Magufuli ufanyike CITIZEN...
Hujui kingereza.... Tulia dawa ikuingia wewe gamba
Yawezekana kingereza kinakupiga chenga mkuu. Tukusaidie wapi kutafasili ili uhelewe. Ila edo akiapishwa lazma uludi shule manake elim itakua bule.
wengine hatuhitaji hata aongee kabisa hata akipunga mkono tu na kuondoka inatosha maana kama sera tushasikia sana miaka na miaka lakini yako wapi sisi tunataka mtendaji na mleta mabadiliko.
lowasa atosha sana.
karibu.
Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!
Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!
Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!
Katumia Dk tatu na hakuna cha maana alichoongea
Anders hili nalo unamlaumu lowassa au mtangazaji ? Lowassa kajibu aliyoulizwa ulitaka aanze kuropoka vitu ambayo hakuulizwa?Katumia Dk tatu na hakuna cha maana alichoongea
kuongea mwisho dakika 3 mpaka kesho tena.
I liked the way He is responding, PRECISE to the point. No goimg around the questions.
R.I.P Hatawewe tunaweza kukupa muda wowote, kuugua hata mbuzi anaugua Lowassa yeye nani asisemwe! kuhama alikudanganya nani anahama kwake kirahisi! sijapanga nipo kwangu kuhama never na wote walio fanya upuzi ule 3kati 4 tumesha wapa R.I.P Twende kazi nifah "Anae muunga mkono Lowassa Akapimwe akili"Wewe jamaa mbea sana,unaonekana hata huko kitaa uko hivihivi ndio maana wale jamaa walikupiga mapanga.Bahati yako ulihama tungeshasema R.I.P zamani!