Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

You NEVER cease to amaze me, your intellect is next none, FROM THE BOTTOM.

You vulture... where hv you been taught ENGLISH...? you look like hell, just like Magufuli...!!! Is that Phraseology from Chato..? Even words formation is NIGHTMARE to you.. !!!

All CCM, mna laana kuu, no qns, no doughts, to hell..!!
 
Debate itafanyika kwa kingereza tena citizen tv au BBC maana hawa wa tanzania hawaeleweki

Kwanini Kiingereza Mkuu?Asilimia Ngapi Ya Watz Wanajua Vizuri Kiingereza?Wanabodaboda,mamantilie Na Machinga Mnajinasibu Ni Wapiga Kura Wenu Wanajua Vizuri Kiingereza?
 
Eeh bwana mzee kamwagika hadi raha,sasa tuandae mbavu kuangalia interview ya Arincherema Arija.
 
Mkuu Huo Ni Uoga Wao tu,mbona Azamtv Wanaandaa Midahalo Ya Wabunge Wapo Fair Tu Wale Nao Wamepitiwa Na January Makamba?Na Kwani Tatizo Ni Media Media Si Inarusha Tu Matangazo,tatizo Labda Watuambie Mwandishi Atakayekua Anasimamia Huo Mdahalo..

Ndg Chama chenu kiko madarakani so bado kina ushawishi wa kila kitu mpaka sasa kwahiyo hakuna mmiliki yyt mwenye uwezo wakufanya kinyume na Watawala ndio maana ukiangalia aidha Tv au Magazeti nw hata yale yaliyokuwa yanadhaniwa ni HURU bt nw yanaimba hapaKazi tu
 
Kwanini Kiingereza Mkuu?Asilimia Ngapi Ya Watz Wanajua Vizuri Kiingereza?Wanabodaboda,mamantilie Na Machinga Mnajinasibu Ni Wapiga Kura Wenu Wanajua Vizuri Kiingereza?

Kwani mnataka midahalo ili wananchi wawasikie au ili mjiridhishe nyie ccm..??
Kama midahalo ni kwa ajili ya wananchi basi tutaelewana nao kwenye mafuriko ya kampeni...!!
Nyie si hamtangazi sera za maana...mnabaki kufanya mazoezi majukwaani....!!

Eti hapa kazi tu wakati zaidi ya 80% ya audience ni jobless!!
 
Hivi ccm sindio tulikua haturuhusu wagombea wa urais kushiriki midahalo?mwaka 2005 kama Sijasahau mkamtuma dr ngasongwa badala ya mgombea.Yani ukawa mkimpeleka mgombea wenu ntawashangaa
 
kuongea mwisho dakika 3 mpaka kesho tena.

wengine hatuhitaji hata aongee kabisa hata akipunga mkono tu na kuondoka inatosha maana kama sera tushasikia sana miaka na miaka lakini yako wapi sisi tunataka mtendaji na mleta mabadiliko.

lowasa atosha sana.
karibu.
 
Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!

Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!

Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!
IQ yako ndogo sana
 
I am disappointed.

I am more disappointed by the interviewer than the interviewee. The interviewer responded to the questions which were being asked. The interviewer did not do his homework. Lowasa is running for a presidency of a country of almost 50 million people not of a college. The interviewer was supposed to ask the aspirant some hard hitting and incisive questions about himself, allegations being leveled at him, the Tanzanian economy, etc.

Huu ndo ubovu wa kukariri! yeye kaona hayo ndo maswali yanafaa wewe unataka aulizwe unayotaka wewe si nenda kaombe kazi citizen basi na kama utapata omba wakupatie hichi kipindi ama nene
 
Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!

Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!

Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!

nimuangalie machoni amekuwa demu wangu huyo.?
 
Back
Top Bottom