Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

jamaa yuko vizuri kwenye kizungu sio jk anayepataga kigugumizi akiongea ilingish, sasa ni zamu ya makomeo tusikie ile accent yake anapopiga umombo

He was a just ok English speaker, in fact he didn't sound a person in a perfect condition, he look zombie like. Also you can see that the interviewer was very cautious in his modes of interviewing.

Let's admit there is something very wrong with lowassa's health , nadhani tunamuangamiza na hii mikiki mikiki ya uchaguzi .

my God bless him with good health.
 
hao wakenya wanajisumbua kwani hatuchagui rais wa kenya si ajabu kwa tabia yake ya kifisadi keshaingia nao mikataba ya kifisadi

ufisadi nyumbani kwao ni ccm. huko utakutana na escrow,meremeta,kagoda, uuzaji nyumba za serikalu kwa bei ya kutupa nk.
 
THE BEST EVER PRESIDENT to be in Tanzania...!!! and he will make it..!!!

Lowassa, blessed son of God..!!
 
ufisadi nyumbani kwao ni ccm. huko utakutana na escrow,meremeta,kagoda, uuzaji nyumba za serikalu kwa bei ya kutupa nk.

Aliyekuwa Waziri Mkuu enzi ya Meremeta,Kagoda na uuzwaji wa nyumba za serikali,yupo Ukawa kwa sasa ametulia tuli
 
ufisadi nyumbani kwao ni ccm. huko utakutana na escrow,meremeta,kagoda, uuzaji nyumba za serikalu kwa bei ya kutupa nk.
wewe unajua ufisadi wa kenya unajua kwanini sasa hivi wanasema kuna mgogoro wa uhuru na makamu wake
nyi ndio mnawapa kenya kichwa mambo yetu yanatuhusu sisi wao wanaangalia jinsi watakavyopata nafasi kutumia rasilimali zetu
 
R.I.P Hatawewe tunaweza kukupa muda wowote, kuugua hata mbuzi anaugua Lowassa yeye nani asisemwe! kuhama alikudanganya nani anahama kwake kirahisi! sijapanga nipo kwangu kuhama never na wote walio fanya upuzi ule 3kati 4 tumesha wapa R.I.P Twende kazi nifah "Anae muunga mkono Lowassa Akapimwe akili"

Hahahaaaa Eid Mubarak ndugu yangu katika imani.
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba mdahalo wa Lowassa na Magufuli ufanyike CITIZEN...

Kazi bure Lowassa alikua bosi wa magufuli soo hata confidens hamfikii na upeo pia,kuwa waziri wa barabara naa kuw wazir mkuu ni tofauti hata changamoto walixokutana nazo jazifanani,shabikieni vyama vyenu ila uwezo wa magufuli na Lowassa kisiasa haulingani hata kidogo.na ndo sababu yy alikua wazir mkuu at a time magufuli alikua wazir wa kawaida.
 


Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!

Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!

Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!

To generalize is to be an idiot.
 
Back
Top Bottom