Naskia kuna mtu alijinyea juzi kati
ccm mmechoka kweli! kila mnalolizusha watu wanawapuuza!
Naskia kuna mtu alijinyea juzi kati
kuongea mwisho dakika 3 mpaka kesho tena.
Ukawa Mnataka Mdahalo Wa Lowassa Na Magufuli Uwe Kwa Kiingereza Tena Citizen,hivi Ni Waulize Wangap Wanapata Access Ya Kuangalia Citizen Au Wangapi Wanajua Na Sio Tu Kujua Bali Kujua Vizuri Kiingereza?Nyie Wenyewe Mnasema Wapiga Kura Wenu Ni Mama Ntilie Na Madereva Bodaboda Hivi Hao Asilimia Kubwa Wanajua Kingereza?
Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!
Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!
Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!
wewe pimbi kweli! kazi ya rais ni kupiga PUSH UP? kamwambie baba yako akupigie push up!JENEZA LINALOTEMBEA = Edward Lowassa, hata interview hawezi kufanya ya muda mrefu sasa PUSH UP ndio ataziweza? Makubwa haya.
JENEZA LINALOTEMBEA = Edward Lowassa, hata interview hawezi kufanya ya muda mrefu sasa PUSH UP ndio ataziweza? Makubwa haya.
Sisi akina bodaboda na Mama ntilie hatuna haja na chochote toka kwa Lowasa, tungependa apumzike tu tumpigie kura za landslide. Ni hao wasomi na internationals ambao ni vizuri wakamsikia. Nashauri aendelee tu na makundi hayo ya wasomi.
Tunaomba mdahalo wa Lowassa na Magufuli ufanyike CITIZEN...
Watanzania lazima tuwe makini juu hili jambo,mdahalo ni jambo la msingi na ni rahisi kugundua mgombea gani anatosha.
Ukawa Mnataka Mdahalo Wa Lowassa Na Magufuli Uwe Kwa Kiingereza Tena Citizen,hivi Ni Waulize Wangap Wanapata Access Ya Kuangalia Citizen Au Wangapi Wanajua Na Sio Tu Kujua Bali Kujua Vizuri Kiingereza?Nyie Wenyewe Mnasema Wapiga Kura Wenu Ni Mama Ntilie Na Madereva Bodaboda Hivi Hao Asilimia Kubwa Wanajua Kingereza?
Mkuu media za Tanzania zina kasoro gani mpaka tufikie hatua ya kuamini WAGENI, msifikiri Mh.Magufuli hajui kuongea kingereza fasaha.
sasa nimeamini kwa 100% kwamba lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa segerea!
embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
hii ni kwa wataalamu wa kusoma body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!
siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi lowasa anavyofanya!
JENEZA LINALOTEMBEA = Edward Lowassa, hata interview hawezi kufanya ya muda mrefu sasa PUSH UP ndio ataziweza? Makubwa haya.
Wanaotaka Mdahalo Citizen TV wanaogopa ya TWAWEZA manake hapa Bongo hakuna Media ambayo April Makamba hajaifikia
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
Watanzania lazima tuwe makini juu hili jambo,mdahalo ni jambo la msingi na ni rahisi kugundua mgombea gani anatosha.
Mdahalo mdahalo... Yaani ccm wanashindwa kujua kuwa mgombea wao:
1. Hana uzoefu
2. Si mbunifu
3. Hajui Kiswahili
4. Hajui ENglish
5. Hakujiandaa kisaikolojia
6. Si mwanasiasa
Kama ccm wanataka midahalo kwanza iwepo rasmi kwenye taratibu na kanuni za Tume alafu isimamiwe na Tume ya uchaguzi..
Midahalo isiyo rasmi kama ile ya #mkikimkiki wa Maria Sarungi ni miradi ya upigaji tu na haina tija!!