Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
 
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?

So, AzamTV ni wakenya maana alishawahi kufanya interview nao! So interview na debate are the same thing! Upeo wako mdogo sana hata haijajii kwenye kijiko cha chai!
 
Dah Mimi napenda mabadiliko ila ukweli jamaa siku zinavyizidi kwenda ndio anazidi kuchoka
 
Dah Mimi napenda mabadiliko ila ukweli jamaa siku zinavyizidi kwenda ndio anazidi kuchoka

Alipokuwa CCM kipindi anatafuta wadhamini alizunguka mikoa yote 30 kwa siku 36. Baada ya wiki 3 kampeni za kitaifa zikaanza tena, ambapo atazunguka mikoani na wilayani kwa siku 70. Na mpaka sasa kashazunguka mikoa 16 wilaya zaidi ya zaidi ya Km 13,658...

Ebu tuweni fair, kama binadamu kwa nini asichoke? Au yeye anatumia diesel?....
 
Watanzania lazima tuwe makini juu hili jambo,mdahalo ni jambo la msingi na ni rahisi kugundua mgombea gani anatosha.
Kwa siasa za Tz, mdahalo wala hausaidii kitu chochote kile katika kuwashawishi wapiga kura. kwa aina hii ya wapiga kura wa Tz??!! ambao kila kitu wanaweka ushabiki wa yanga na simba, huo mdahalo wa masaa mawili utasaidia nini kuweza kumbadirisha mpiga kura, ambaye hata kwenye mikutano anaenda tu na wala si kusikiliza sera, ni ushabiki tu. Na siasa zenyewe hizi za ulaghai.
 


Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!

Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!

Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!
 
Back
Top Bottom