Katumia Dk tatu na hakuna cha maana alichoongea
Ni kwamba akiongea zisizidi dk.5 zikizid inakua habari nyingine kabisa,,,ushafatilia mikutano yake anaongea dk. ngapi?
Katumia Dk tatu na hakuna cha maana alichoongea
Wewe Una akili timamu ,kwa hiyo kusema kachoka ndio kwamba simuheshimu au simpendi lowasa ?? Wapi nilipo ongelea swala la afya ya lowasa ??
...i THINK i can be a president...! mmmmh!
A glass half empty, if you ask me.
Magufuli would put it this way, I WILL BE A PRESIDENT.
Ulichopost tena na jina lako vinaendana
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
Huu ndo ubovu wa kukariri! yeye kaona hayo ndo maswali yanafaa wewe unataka aulizwe unayotaka wewe si nenda kaombe kazi citizen basi na kama utapata omba wakupatie hichi kipindi ama nene
Ni wapi huyo unayemquote kasema debate na interview ni sawa?So, AzamTV ni wakenya maana alishawahi kufanya interview nao! So interview na debate are the same thing! Upeo wako mdogo sana hata haijajii kwenye kijiko cha chai!
Kama kuchoka ni tatizo kwako basi wote linawakuta hilo , umesahau Magufuli sauti yake kushindwa kutoka wiki ya pili tu ya kampeni !?, hakuna anayetumia petroli wala diseli !,wote ni binaadam na wana mwili wa nyama na damu ndugu. Au umesahau rais wetu Jk kuanguka akiwa jukwaani wakati akiongea na wananchi ! ?, kuchoka siyo ishu kama unavyochukulia kuwa ni point sana !
Ni kwamba akiongea zisizidi dk.5 zikizid inakua habari nyingine kabisa,,,ushafatilia mikutano yake anaongea dk. ngapi?
Ni nini hasa kinachomfanya azunguke kwanza sisiemu kisha ukawa? uchu wa madaraka huo, NI LAZIMA APIGIKE KWANZA KABLA HATUJAMKATA TENA once and for all!Alipokuwa CCM kipindi anatafuta wadhamini alizunguka mikoa yote 30 kwa siku 36. Baada ya wiki 3 kampeni za kitaifa zikaanza tena, ambapo atazunguka mikoani na wilayani kwa siku 70. Na mpaka sasa kashazunguka mikoa 16 wilaya zaidi ya zaidi ya Km 13,658...
Ebu tuweni fair, kama binadamu kwa nini asichoke? Au yeye anatumia diesel?....
Short & clear speech
Hakunaga talalila nselem.a wala nselemalaa!!
Ukawa Mnataka Mdahalo Wa Lowassa Na Magufuli Uwe Kwa Kiingereza Tena Citizen,hivi Ni Waulize Wangap Wanapata Access Ya Kuangalia Citizen Au Wangapi Wanajua Na Sio Tu Kujua Bali Kujua Vizuri Kiingereza?Nyie Wenyewe Mnasema Wapiga Kura Wenu Ni Mama Ntilie Na Madereva Bodaboda Hivi Hao Asilimia Kubwa Wanajua Kingereza?
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
Atake mdahalo na nani, maana uchaguzi huu tunaenda kushuhudia kindumbwe ndumbwe kimiwa na Magufuli na Lowassa. Sasa Lowassa afanye mdahalo na mgombea asiyejua kuwa Rais wa Libya alikuwa ni Sadam Hussein, you can't be serious.
Lowassa has it's bound in his only legacy. He should not debate with Magufuli and you consider that as a betrayal but doesnt make any sense of.
We trust Lowassa and for both terms (1of 5 and the last) we shall be by his side.
#MabadilikoNiLazima2015
Mtu akiwamua kukutukana sio lazima akatamka waziwazi! Iweje Lowassa akatae mdahalo nchini Tanzania halafu afanye interview na vyombo vya habari vya Kenya? Kama sio kuwaona Watanzania malofa ni nini?
JENEZA LINALOTEMBEA = Edward Lowassa, hata interview hawezi kufanya ya muda mrefu sasa PUSH UP ndio ataziweza? Makubwa haya.
MUNGU AKUSAMEHE SANA HUJUI ULISEMALO
Unajua urais ni kitu kikubwa sio tanzania tu lazima aeleze vizuri sera na ushilikiano wa kimataifa iwapo atashina.
Very Stupid comment, Interview kwa lugha ya kiingereza sababu wapiga kura wake ni Waingereza???????? By the way, hao watu wa Ulaya na America wote wanajua huyu jamaa ni mwizi tu na mla rushwa, hana jipya. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.wakati wao wanang'ang'ania afanye midahalo ambayo imepanga kuandaa maswali yatakoyoitwa ya wananchi ili wamchafue atafanya interview kwa Lugha ya Kiingereza na Citizen TV, KTN, BBC,CNN,Aljazeera n.k