EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

naomba nikuulize na wew..je mpz/mke/mchumba kama unae anajua kwamba upo jf??.na tena leo umeongoza interview???tangu ujiunge na jf umepata faida gani?kipi unapenda kiongezwe au kiboroshwe na kipi haukipendi..
 
Mambo gani? what a responsible man!! mwaaaa nenda nenda

Hahaha!!! si unajua huu ni wakati wa maakuli...ukishaambiwa karibu mezani hutakiwi kuvunga la sivyo msosi utapoa (sijui utaelewaaaa)
 
Hata.mi wangu hajui kama nimo humu,japo na yeye yumo lakin yeye ni jukwa la siasa tuuu
 
FB nadhani tangu enzi hizoooo nasoma....JF nimejiunga recently

I think you can see it in before nilikuwa naingia as a GUEST....

Hivi ni kwa nini wadada mkihojiwa huwa mnachanganya Kiswahili na Kingereza?
 
Hahaha!!! si unajua huu ni wakati wa maakuli...ukishaambiwa karibu mezani hutakiwi kuvunga la sivyo msosi utapoa (sijui utaelewaaaa)
asielewe tena huyo bidada hayo mambo anayapendaje
cc Sista
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom