Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,749
Ha ha ha ha da mkuu umenivunja mbavu aiseeeeWeka hata papuchi la mama yako linatosha.
Dah, we kiboko aiseeee
Ha ha ha ha da mkuu umenivunja mbavu aiseeeeWeka hata papuchi la mama yako linatosha.
Asante sana..kwa maelezo murua.
Is ur family know anything about ur presence on jamiiforums?
Is there any of ur friends become ur family friends through jf connection?
ohoo! je, umewahi kupata hasara yoyote kwenye mitandao? au itokanayo na rafiki wa mtandaoni?
je,umeshawahi kumdissappoint any of ur friend on social network, yani hadi ile mwenyewe ukaona umem'boa au kumkwaza
Hahahahaha yaaani umegangamala hukubali kusubiri ngoja mie niendelee kuwatch hii kituHahahahahaha na masikio tuuu
Hapana hakuna ajuaye mkuu isipokuwa a cousin brother of mine...
Hili swali la pili sijui kama nimelielewa kama ulivyokusudia, labda fafanua kidogo ili nitoe jibu fasaha...
Hapana hakuna ajuaye mkuu isipokuwa a cousin brother of mine...
Hili swali la pili sijui kama nimelielewa kama ulivyokusudia, labda fafanua kidogo ili nitoe jibu fasaha...
ok..hilo la pili lilitegemea majibu ya hilo la kwanza!
nilimaanisha kama unamarafiki wa familia yako uliowapata kupitia jf.
Another question!
inamaana hata wife wako hajui kama upo jf?
mmhhh hasara nadhani zipo sidhani kama imewahi kua 100% positive all the way....
Nimewahi kuwakwaza ndio kwa mfano poor response....kumjibu mtu vibaya......
Mkuu jaribu kuipeleka fasta hii makitu, naona muda wa kuwajibika kwenye mambo mengine wakaribia...
mie mwenyewe nahisi nimechoka jamaa yuko very SLOW
Asante sana..kwa maelezo murua.
Is ur family know anything about ur presence on jamiiforums?
Is there any of ur friends become ur family friends through jf connection?
Sasa jamaniii huo mda wa sisi kuuliza maswali unafika sangapi? Maana naona tumesahaulika huku
Mkuu jaribu kuipeleka fasta hii makitu, naona muda wa kuwajibika kwenye mambo mengine wakaribia...
mie mwenyewe nahisi nimechoka jamaa yuko very SLOW
naomba kuendeleza huu mjadala,..