Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
nipo heaven!! show bado mbichi kabisa!
Okay.........I thought you have disappeared
nipo heaven!! show bado mbichi kabisa!
Japo sijapenda lugha ukiyotumia naungana nawe katika motive.
Jamani mnaotaka picha nenda instagram utaacha mwenyewe, msituharibie muhudhui ya threads za watu.
Niko mingi ila niko addicted na JF more than ever........nahisi ndio huwa natembelea sana..most of the time niko huku
FB mara chache sana...naweza kukaa hata mwezi sijatia maguu..nadhan FB nina marafiki wengi niwajuao ila
JF nina friends wengi ambao siwajui
yeah ni kweli huwa inachosha sana...vitu havina Connection mtu anataka Picha...
Japo sijapenda lugha uliyotumia naungana nawe katika motive.
Jamani mnaotaka picha nenda instagram utaacha mwenyewe, msituharibie mahudhui ya threads za watu.
U just come into it.. kati ya fb na Jf ulianza kujiunga wapi?
Eti dada..
We ni mwanachama mitandao gani tena tofauti na jf?
kwa hiyo jf imekusahaulisha fb, regardles fb una marafiki unaowajua?
Nipo katika mitandao mingi mkuu, nakumbuka mwanzoni kabisa nilianza kujiunga na mtandao wa hi5 baada ya kupata mualiko wa rafiki yangu(lakini sasa hivi nipo inactive)...
Wakati nikiwa hi5 ndio ikatokea ibuko la mtandao wa FB ambao nako nikajiunga. Huku nilijiunga kufuata marafiki wa zamani maana wakati huo sikuwa nakaa Tz...
Pia nipo Instagram. Tagged, Graduates.com na zaidi nipo LinkedIn (mtandao wa wanataaluma).
Nothing new kule........bora niwe JF naenjoy sana...marafiki ninao ila sio wengi kihivo.....
I think nime loose marafiki wengi sanaa.....Here is where am making new friends again
Safi! mitandao ya kikubwa zaidi!
Mkuu huo mtandao wa wanataaluma members mnajuana?
Sawa! ujue we are talking about madhara ya urafiki wa kwenye mitandao na wewe umesema, umeloose marafiki wengi sana, sasa uliwaloose kwa reason zipi?
kwanini uwapoteze?