Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,047
ooh ni wengi kidogo..mkuu uliwahi kukwaruzana na mtu Facebook?
Sijawahi kwaruzana na mtu.
Hivi kuna watu huwa wanakwaruzana FB??
ooh ni wengi kidogo..mkuu uliwahi kukwaruzana na mtu Facebook?
ok..niambie sasa kuhusu JF..hapa umesema hujuani na marafiki zako wengi..
je,unadhani hii inaongeza uhuru wa kujiachia zaidi?
Japokuwa umwesema huwajui wengi humu
je, una mawasiliano nao zaidi ya humu(like simu n.k)
We nawe kwenda kule...kwani HUELEWI!!!!!!!!!!!!!
1.nawafaham watu wawili tu mbao tumewahi kukutana face to face
na tukaenjoy our good times together ka marafiki na hadi kesho huwa tunawasiliana
2.kuwafaham hainizuii kitu...ndio maana huwa naandika chochote kinachokuja in my mind
3.wengine tunawasilina sana tu kwa PHONE...ila hatujaonana
wapo mkuu..
mkuu hebu tuendelee sasa have you ever do real dating on social networks?
ok..Heaven umewahi labda kupata Mpenzi kupitia mitandao?
Bad for em...
Nada, sijawahi kufanya mkuu na kiukweli watu8 kwa kiasi fulani haafiki maudhui ya dhana ya 'online dating'...
Nop.....Falling in Love with a Stranger NO.........
ha ha ha ha ha..je kuwa seduced? ishakutokea?
how do u overcome it?
hiyo ipo sana tu tena kwa bint mrembo kama mimi LOL...........
I know what I want naamin nisipokuwa makin naweza kuishia kulalwa na kuwa used tu....
Najitambua tu...na kujielewa...ko nina limits zangu....
hiyo ipo sana tu tena kwa bint mrembo kama mimi LOL...........
I know what I want naamin nisipokuwa makin naweza kuishia kulalwa na kuwa used tu....
Najitambua tu...na kujielewa...ko nina limits zangu....
thats so good, lakini hii kitu ya kudate kupitia mitandao we unaionaje?
Hata ile ya kichit chat we unadhani ina impact gani?
Hivi haiwezi kujenga hamasa yoyote ile?
from joking to reality? especially pale users wanavyoitana majina ya kimahaba?
hiyo ipo sana tu tena kwa bint mrembo kama mimi LOL...........
I know what I want naamin nisipokuwa makin naweza kuishia kulalwa na kuwa used tu....
Najitambua tu...na kujielewa...ko nina limits zangu....
Leo niko home nafurahi hii interview
mhhh,. Yetu macho!!
Labda nifafanue jambo moja mkuu,
Ili watu wawili waweze kufanya dating huwa kuna mambo matatu yanapaswa kutangulia;
1. Kukutana
2. Kufahamiana
3. Get attracted to each other(nimekosa tafsiri ya haraka ya Kiswahili)
Sasa hizi social networking zenyewe ni platforms tu za kukutanisha watu na watu hao kufahamiana.
Ila wapo ambao husogea hatua moja zaidi ya kutamaniana na hatimaye kuwa wapenzi.
watu8 mimi ni mhafidhina, naamini katika ulimwengu unaoonekana zaidi hivyo hata kama umekutana na kufahamiana na mtu, suala la dating linapaswa liwe nje ya mtandao.
Kwangu chitchat haijabadilisha lolote kwa kuwa nje ya maongezi ya kichitchat bado kuna heshima na mipaka halisia.
Safi sana mrembo.
mpenzi wako, kama unaye, anafahamu matumizi yako ya mitandao?
mliwahi kuntradict in any means kwa sababu ya marafiki zako wa mtandaoni?
Mpenzi ninae......ila yuko maili 100 huko you can imagine.....
he is Ant Social I can say sijui ndo lifestyle yake hana cha FB wala JF wala nini....
ananiboaga saa nyingine...Ila inabidi nimu understand tu.
hajui ka hata niko JF...FB anajua nakumbuka tumewahi kugombana kisa kijana mmoja hivi duuh
na akaniambia nijiblock FB I was like WHAT!!!!!!!!!this is my LIFE ...let me live the way I want to...
kijana mwenyewe nilikuwa sina hata mahusiano...Wivu wake tu