EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

Tuanze sasa..umeiona topic!
mkuu, tunazingumzia mitandao ya kijamii!
do you know some?

Well,

Topiki nimeiona na bila shaka nimeielewa japo kwa uchache...

Ndio, naifahamu mitandao ya kijamii na baadhi yake mimi ni mwanachama...
 
Tuendelee please we have things to do also...............you cant control all....waliokusikia wamekusikia

alright karibu sana.
nadhani unaijua vyema mitandao ya kijamii!
hivi tofauti na mitandao ya kijamii, can u tell me others?
 
Well,

Topiki nimeiona na bila shaka nimeielewa japo kwa uchache...

Ndio, naifahamu mitandao ya kijamii na baadhi yake mimi ni mwanachama...

well well mkuu! na jf ni social network ryt? ambayo mimi na wewe ni member
 
alright karibu sana.
nadhani unaijua vyema mitandao ya kijamii!
hivi tofauti na mitandao ya kijamii, can u tell me others?

mmh sijakuelewa mkuu.....cheki swali lako vizuri...........

ila naifaham mitandao ya kijamaa(Social Network)
 
Huyu Host wa leo atakuwa Marin Hassan, maana maswali yake...dah! Waskilizaji tunaruhusiwa kuuliza maswali?
 
well well mkuu! na jf ni social network ryt? ambayo mimi na wewe ni member

To my understanding, upo sahihi kabisa kuwa JF ni miongoni mwa mitandao ya kijamii.

(Najaribu kujibu kwa ufupi sijui kama majibu yanakidhi kiu ya maswali yako)...
 
To my understanding, upo sahihi kabisa kuwa JF ni miongoni mwa mitandao ya kijamii.

(Najaribu kujibu kwa ufupi sijui kama majibu yanakidhi kiu ya maswali yako)...

Aaaaaaaaaaaah! Kwa heshima yako nimektisha ---- nafatlia show, hata kuku za bure nimesamehe leo na bier! YOU GOTTA GIVE ME SOMETHING BETTER THAN THIS. You ct me really deep!
 
Aaaaaaaaaaaah! Kwa heshima yako nimektisha ---- nafatlia show, hata kuku za bure nimesamehe leo na bier! YOU GOTTA GIVE ME SOMETHING BETTER THAN THIS. You ct me really deep!

Lol..kumbe nawe upo pembeni

Najibu kutegemeana na hitaji la swali, kama ukihitajika ufafanuzi zaidi nitafanya hivyo bila shaka yoyote.

Nahofia kujibu zaidi maana nisijeharibu maswali yajayo...
 
No sio zote lakin JF..FB INSTA ni baadhi ya hizo social network aambazo nadhani umezilenga

thanks lets Go on.

Access ya hii mitandao inatofautiana kidogo..
Hebu niambie kwako, kwa hiyo uliyo member ni ipi unaitumia kirahisi na una marafiki wengi zaidi?
 
thanks lets Go on.

Access ya hii mitandao inatofautiana kidogo..
Hebu niambie kwako, kwa hiyo uliyo member ni ipi unaitumia kirahisi na una marafiki wengi zaidi?

Niko mingi ila niko addicted na JF more than ever........nahisi ndio huwa natembelea sana..most of the time niko huku

FB mara chache sana...naweza kukaa hata mwezi sijatia maguu..nadhan FB nina marafiki wengi niwajuao ila

JF nina friends wengi ambao siwajui
 
Back
Top Bottom