Leo Kutakuwa na INTERVIEW>>>>>>>>

Leo Kutakuwa na INTERVIEW>>>>>>>>

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
18,715
Reaction score
31,097
Halloo MMU fans,

Naomba kuchukua time hii kuwajulisha,
leo jioni kuanzia saa kumi na moja tutakuwa na interview hapa
jamvini.

Naomba nisiwape topic kwa wakati huu kwani inaweza kuvuja
mapema.

Wageni wetu leo ni wawili wa nguvu

1. watu8
2. Heaven on Earth...


Nawakaribisha sana.

Uran..

CC; shansarie, Nambe,
tupo south kwa madiba mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom