EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

EXCLUSIVE INTERVIEW...Topic: Madhara ya Urafiki wa Kwenye mitandao!!

Ingependeza zaidi ukamhoji mtu mmoja kwa wakati mmoja walau somo litaeleweka. Kuna interview ziliwahi kurindima hapa ikiwa ya Zitto na ingine ya The Boss kama nakumbuka vizuri AshaDii alikuwa msimamizi yaani ilikuwa vigumu kupost katikati ya maongezi. Chukua mwongozo kwa AshaDii.

Natamani kuisoma hiyo
 
Last edited by a moderator:
Kwa wewe ntafunga na kuomba unizawadie ATM card.....

Hiyo rahisi, nitakuzawadia pamoja na ATM Machine yake kabisa..
atm-crack.jpg
 
Back
Top Bottom