Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Jaman muda wa maswali ni kesho,tuwaache wapumuee
Aaaah...ila wametubania hawa
Jaman muda wa maswali ni kesho,tuwaache wapumuee
Wametubania hatukupewa nafasi washiriki wengine kuuliza maswali. Lkn nakupa hongera manake kila wakikuchunia we umo tuu bhagosha/jamani hebu mwallu njoo pande hii utoe maana ya hili neno.Jaman muda wa maswali ni kesho,tuwaache wapumuee
Swagaaaaaaa
ni swaga meeen!!!
na wewe una hizo Swaga?
Mi nijulie wap kithunguuuu.... swaga zangu ni kuchanganya kiswahili na kilugha chetu...
Mi nijulie wap kithunguuuu.... swaga zangu ni kuchanganya kiswahili na kilugha chetu...
Kikwenu ni kiwapi unifundishe na mimi?
Mkuu uran, nimefurahi sana mjadala unaoendesha ila nina mawazo kidogo...Asante sana..kwa maelezo murua.
Is ur family know anything about ur presence on jamiiforums?
Is there any of ur friends become ur family friends through jf connection?
kikwetu ni kin.... karibu sana kwetu nikufundishe....
Kin..yakyusa?
Kin..yalu?
Kin..yamwezi?
Kin..yiramba?
Kin..yarandwa?
Kin..yia?
Kin..dali?
Mwe...... Hebu funguka Bana.
mhhh,. Yetu macho!!
Sorry for interruption,..lol
Hicho cha 4 ichooooo.
You must be beautiful, napendaga sana hawa watu wa hiki kilugha. Niliwahi kuwa na mmoja wenu very beatiful sema tulitofautiana ye alikuwa na haraka ya kuolewa na mi nikawa nafurahia maisha ya useja.