Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Inategemea na mzazi na mzazi kua na wasiwasi kwa kua wazaz hawalingani kuna wazazi waelewa
na kuna wazazi ambao kidogo ni watata mana huwez kuingilia mapenz ya mtt wako kwa kuwa huwez jua walikokutana na walivoishi mpaka akaja kumleta kwako na kumtambulisha
Teh naona kweli unalipigia promo hili.

Maswali yangu yamebaki machache soon nitawakaribisha wadau nao wakuulize machache.

Najua pm huwa unafuatwa saana na kwa umri wako umeshatongozwa pia sana mitaani.

Kuna tofauti gani kati haya matongozo mawili? Tongozo lipi unakuwa confortable kulipa airtime?
 
ahhhaha tongozo ni tongozo la mtaani au la pm ni vile vile
sipati usumbufu sna pm sbbu siitumii nimeifunga
 
mwisho halafu wadau waongeze maswali

Unamshauri nini anayehitaji mchumba kupitia hii njia ategemee kukutana na nini na ajipangeje?

Na wale waliopo kwenye hatua ya uchumba ulioanzia mtandaoni?
 
Kama umeshindwa hilo basi jibu hili kwa ufasaha.

Kuna uhusiano gani kati ya umri mkubwa na watafuta wachumba online? Je below 25years wao hawaamin online datings? ?
Kiukwel mi naaamin online dating kwa sababu zangu binafsi ila watu tunatofautiana kuna ambao wanatafuta wachumba online kwa masilahi yao binafsi

na kuna ambao wako ki fake na ambao wako real na hii ya umri siwez isemea san kwa kuwa inategemea kuna ambao wanapenda umri mkubwa na kuna ambao wanapend kulingana na kuna ambao wanapend wadogo kwahiyo kwenye umri siwezi kusemea sana
 
nimekupata mamdogo.
Nisiwe na choyo naomba niwakaribishe wanaotufuatilia japo wakuulize maswali mawili matatu then ukalale mamdogo.

I real appreciate and love you.
 
mwisho halafu wadau waongeze maswali

Unamshauri nini anayehitaji mchumba kupitia hii njia ategemee kukutana na nini na ajipangeje?

Na wale waliopo kwenye hatua ya uchumba ulioanzia mtandaoni?
Kwa kwel siwezi mshauri mtu ajipange vipi kwakuwa mapenzi huwa yanatokegaaa tu unaweza anza kimzaaa na bdae ukakuta mnafika mbali ki malengo na kuoana

Na waliopo kwenye hatua ya uchumba napenda kuwashauri wazidi kushikamana nakupendana kwa dhati haha na dhani nikisema hivyo unaelewa mana mapenzi yanaitaji uvumilivu wa hali ya juu wapendane waheshimiane ili waweze kufika mbali
 
Daby mada ni nzuri lakini sample specimen sio sahihi kabisaa

mtu ameshakiri hajawahi kuwa na mahusiano ya mtandaoni hana experience majibu yatakuwa invalid kabisaa

bora ungemwita Joanna au Mamdow au wengine walioomba wapenzi humu washare

otherwise inteview yako inakuwa feki tu isiyo na maana!!
 
nimekupata mamdogo.
Nisiwe na choyo naomba niwakaribishe wanaotufuatilia japo wakuulize maswali mawili matatu then ukalale mamdogo.

I real appreciate and love you.
bamdogo unanipa zawadi gani eti ivuga aliuliza
 
Lakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)

Naomba niulize swali chokonozi. Asilimia nyingi za mabandiko ya love connect umri ni 28-30-40 kwenda juu. Mtoe wasiwasi member wa JF kwanini inakuwa hivi kama kweli sio rejects..?
Hii para ya mwisho hii...!!

Hivi umri ndio unadetermine rejects??
 
Daby mada ni nzuri lakini sample specimen sio sahihi kabisaa

mtu ameshakiri hajawahi kuwa na mahusiano ya mtandaoni hana experience majibu yatakuwa invalid kabisaa

bora ungemwita Joanna au Mamdow au wengine walioomba wapenzi humu washare

otherwise inteview yako inakuwa feki tu isiyo na maana!!
Nilitafuta mtu ambaye yupo na relationship ya hivi kushiriki hapa walikimbia nikaona isiwe kesi
Ila hili nimelichukua bro nitaimprove next time ikitokea interview ingine.
 
Kama umeshindwa hilo basi jibu hili kwa ufasaha.

Kuna uhusiano gani kati ya umri mkubwa na watafuta wachumba online? Je below 25years wao hawaamin online datings? ?
Wapo wengi hujafanya tafiti vizuri.
 
Daby mada ni nzuri lakini sample specimen sio sahihi kabisaa

mtu ameshakiri hajawahi kuwa na mahusiano ya mtandaoni hana experience majibu yatakuwa invalid kabisaa

bora ungemwita Joanna au Mamdow au wengine walioomba wapenzi humu washare

otherwise inteview yako inakuwa feki tu isiyo na maana!!
Kabisa tungepata couple ya ukweli ya humu humu
 
Hii para ya mwisho hii...!!

Hivi umri ndio unadetermine rejects??
Labda reject ni nini?

Kuna uhusiano mkubwa wa umri na reject ndiyo maana nikaweka kimakusudi. Angalia ni teenage wangapi rejects na ni watu wazima wangapi rejects.
 
Back
Top Bottom