Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,807
Sawa.Nilitafuta mtu ambaye yupo na relationship ya hivi kushiriki hapa walikimbia nikaona isiwe kesi
Ila hili nimelichukua bro nitaimprove next time ikitokea interview ingine.
Shunie katubania sana....hayuko wazi kivileeee
swali la kwanza tu anamajibu mawili yes na no...khaaa!!
Hafu me ni female.
Nafuatilia uzi huu kwakuwa nina mpenzi kupitia love connect, ni nataka kujifunza changamoto zake.



