Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Kiliya to Ze eksitent....

Hivi Vale kweli ndiyo umenisahaulisha intaviuu ama kweli wanawake muendelee kuwepo
Mweh mweeh basi ngoja tutaendelea na mikuno badae...

Back to interview next time wasiliana na muhusika mapema Daby na umwambie mada itahusu nini ili kujua kama yupo comfortable nayo...

Ukiwa comfortable na mada ni rahisi kufunguka zaidi bila kusahau na muda wa muhusika ili awe huru zaidi kuepusha kukatisha katisha
 
Ulitamani ungefanya naye nn? nini kilikujia akilini hadi ukajihisi umetamani?

jibu kwa maslahi ya uma
Haha.
Kwangu mwanamke kama kweli nimempenda huwa siwazi kufanya naye kitu zaidi ya kutamani uwepo wake besides me.
Mengine kama sex ni baadae
 
ingawa umedanganya ila sawa.

ulishawahi kujitengenezea image ya binti kichwani ila ulipokutana naye ikawa ndivyo sivyo?
Ulifanyaje?
 
Mweh mweeh basi ngoja tutaendelea na mikuno badae...

Back to interview next time wasiliana na muhusika mapema Daby na umwambie mada itahusu nini ili kujua kama yupo comfortable nayo...

Ukiwa comfortable na mada ni rahisi kufunguka zaidi bila kusahau na muda wa muhusika ili awe huru zaidi kuepusha kukatisha katisha
Nimekuelewa Vale na kupitia hii nimejifunza pia.

I wish next would be you.
 
ingawa umedanganya ila sawa.

ulishawahi kujitengenezea image ya binti kichwani ila ulipokutana naye ikawa ndivyo sivyo?
Ulifanyaje?
Sijadanganya tena hapo moyo ndiyo umeZungumza kabisa.

Nimelipenda hili swali. Binafsi sijawahi kuwa na image ya mwanamke nayemhitaji maana kupenda ni moyo akili inakuongoza tu.

Kwangu nadanganywa na kuona kwanza.
 
ulishawahi kutamani mwanamke bila kumpenda kihivyo unavyosema?
 
wakati unatongoza ulieleza huo ukweli au ulidanganya?
Inategemea na aina ya mwanamke maana wanatofautiiana. Vyote kudanganya na ukweli nimekuwa navitumia kutegemeana na aina ya mwanamke.
Kutongoza ni saana. Hivyo Ubunifu ni kitu muhimu saana wewe ni mwanamme utanielewa.
 
hahahah mi nimeelewa, na wenzangu watakuwa wamekuelewa.

hivi tuseme imetokea leo ni lazima uchague mrembo wakutoka naye humu, utamchagua nani?
 
huko sasa mkuu KORBOTO unataka nigombane na watu bure. I wish uzi ungekuwa chit-chat niujibu kichitchat.
 
Inategemea na aina ya mwanamke maana wanatofautiiana. Vyote kudanganya na ukweli nimekuwa navitumia kutegemeana na aina ya mwanamke.
Kutongoza ni saana. Hivyo Ubunifu ni kitu muhimu saana wewe ni mwanamme utanielewa.
hivi kwenye hichi unachokiita sanaa, yalishawahi kushindikana ukajikuta unahonga ile live live? acha takrima
 
Kuhonga ili mwanamke anikubali sijawahi maana huwa namsoma mapema (kuhudumia kupo hakuepukik). Labda kuwafanyia assignments enzi hizo sijui nikuhonga nako ila kwangu naona ni kusaidia.
 
Back
Top Bottom