Aaaaaa thanaaa babuu[emoji3][emoji3] kirengesa kinadumbua sio
[emoji108] [emoji125] [emoji125]Kinadumbua ndo msamiati gani[emoji87]
Mweeh mie tayari bana nishakalishwa kitimoto humu[emoji85]Nimekuelewa Vale na kupitia hii nimejifunza pia.
I wish next would be you.
Babuuu umefunguka vizuriiiKuhonga ili mwanamke anikubali sijawahi maana huwa namsoma mapema (kuhudumia kupo hakuepukik). Labda kumfanyia assignments sijui nikuhonga nako ila kwangu naona ni kusaidia.
Okey... Njoo unikune basi naweweSion vibaya kurudia. Interviewee anatakiwa awe muwazi na vingine vingine unavyovijua.
Sasa mbn unanibinulia midomo???[emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe bado unampendaeeeUsije ukamwita bibi yako tu hapa nitakukata koromeo na shoka
[emoji4] [emoji4] [emoji4] hapa halali mtu mpk kieleweke....Nacome ngoja kwanza nimfukuze huyu mjukuu akalale asije akapata laana
Siendii mbn wewe hulaliKalale wewe.
Laana kila siku laana mbn hinipi..... Mkwara huo babuuUnataka laana eeeh
Dada hujaulizwa wewe.Kuna changamoto sana kwenye hilo
Kuna couple walikutana fb wakaoana lakini ni wachache ndio tuliojua ukweli
Ila walikubaliana wadanganye wasiseme walifahamiana fb hasa kwa wazee
[TAG]miss natafuta[/TAG]atakuwa sample nzuriNilitafuta mtu ambaye yupo na relationship ya hivi kushiriki hapa walikimbia nikaona isiwe kesi
Ila hili nimelichukua bro nitaimprove next time ikitokea interview ingine.