maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,136
- 3,879
Kiwango cha SGR kabisaaNandi ni mpumbavu wa kiwango cha lami!
Kiwango cha SGR kabisaaNandi ni mpumbavu wa kiwango cha lami!
Yani hadi nimeshindwa kumtafakariMsamehe bure.Kuna wanaume na wakiume.
Sasa lawama za nn?? Kama jambo lina faidaWengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha
Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Maneno tu hayo hayasumbuiHujajielewa bado ukijielewa utajua tunachokimaanisha
Nikweli mkuu wanasemaga mapenzi upofu....Ila pia wanawake wakipenda huwa wanaweza kufanya chochote maana mtu unaweza ukamwambia akutumie pic amevaa sidiria na akatuma na hapo yupo Mwanza mwanaume yupo Singida (hizi teknolojia kwa vijana wetu wanazichukulia vibaya)
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Loooh
Sawa mkuuBut still you know yourself whom you're... Na hazitumwi wakati huo wa "ulimwengu mwingine".
kimbia tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baasi baki huko huko hadi mdogo wangu ukhyt akufate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Waarabu wa Pemba...!
Ni tabia mbaya sana yenye kutia kichefuchefu, mwanaume kamili hawezi kua na akili za namna hiyo, eti amrekodi mwenzie wakiwa katika starehe hiyo! Ni zaidi ya ukatili kwakweliNadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.
Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kurekodiana video muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.
Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Utataka kunambia yule dada kwa yale mauno soko liko juu tiyari?!
Nilikuwa na albam ya hizo mambo, kila chick niliyemla lzm niwe na naked photos zake.Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha
Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
DuHabarini waungwana!
Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.
Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?
Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!
Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!
Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!
Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?
Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!
Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?
Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
SanaUsimuamini sana mwanaume asiye mume wako ifike wakati tuache kulala kama wafu na sim tuzidhibiti akuu fedheha mbaya sana
Acha uchochezi unataka kunitoa kwenye reliDemis hapo kwenye soko si umechapia eh?[emoji12] [emoji12]