Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ujue kutiana mkiamua kujifungia ipasavyo mkatulia vizuri hadi mkatokwa na maneno ya lugha hata hamjui mnaongea nini yataka faragha sana. Sasa mara simu inaita, mara huyu anapiga picha, mara anarecord- muda huo sina kwakweli ni bora tu nit0mBe godoro khaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanashangaza sana,.tendo na simu wapi na wapi jamanii,.
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Utataka kunambia yule dada kwa yale mauno soko liko juu tiyari?!
 
Unalewa kiasi cha kupigwa picha za uchi!? Huko kutiana kwenyewe mtatianaje sasa kama mwenza wako anakuwa kalewa kiasi hicho? Mbona itakuwa kama unatiana na gogo hata hainogi
Inanoga mkuu sema tu ndio mnakua mpo high...

Kwanza mkuu kitu cha kukushangaza kwa hawa wadada ni kipi hapo?

Kwani wewe ukiingia mitandao huwa huoni picha zao walizojipiga wao kwa akili zao na kuzirusha mitandaoni?

Sasa mtu kama huyo akipigwa picha na jamaa yake wakiwa wanangonoka unadhani ataona kitu cha ajabu?
 
Back
Top Bottom