Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
Mbona ile ya nandi ni nandi mwenyewe ndo alishika simu na kurekodi na kisha akaisambaza yeye mwenyewe??

Kwa hiyo sio wanaume tu, hata wadada nao wapo wehu wanaorekodi mambo ya faragha.
 
Inasikitisha sana...

Ila kwa nini wewe mwanamke uruhusu kupigwa video kama hizo...

Hayo mapenzi ni ya aina gani mpaka ukubali kuchukuliwa video...


Cc: mahondaw
 
ulimwengu wa smart phone unatuharibu, siku uzi mapumziko kila mmoja anakimbilia simu yake matokei yake ndo wazo la kuchukua picha na video.

kwa watoto wa kiume hupenda kuchukua kwa siri ili kujisifia kwa wenzao kwamba flani nsha piga
 
Back
Top Bottom