mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,814
- 45,709
Utanielekeza eeenh!!hilo tu wala sio kubwa
Ntashukuru na ntafurahi sana
Utanielekeza eeenh!!hilo tu wala sio kubwa
Mungu anakuona mr mbalizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ujue kuuliza sio ujinga. Isije kutokea kanijia huko pm mm nikawa sijui kwa ushamba wangu wa kutokujua pm inatumikaje akajua labda nimeamua kumpotezea
Sio maskhara Raynavero
Khaah! nimefanyaje ukhuty?wanaume hawa asante mbalizi
Kaliua huku maeneo ya usinge hapaWanaume wa mkoani hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
There you're. Waswahili wanasema, bandu bandu humaliza gogo.It's obvious wahusika wa tabia hizo huwa wameanza kidogo kidogo halafu wanaenda wanazoea.Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.
Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kurekodiana video muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.
Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
ww tu ukhuty, haina shidamim natak hiyo biashar ya tumbaku tu nipewe elimu yake mbalizi mwanafunz wako nip hapa
LooohLakini mkuu pale mnapokua mnapiga game mnakua kwenye ulimwengu mwingine kabisa ata akili zinakua kama sio zile za kawaida labda ndio sababu....
Asa kwani najua ?Ndo namshangaa sasa biashara tu ajifanye na pm haijui au ndo akili yake ishahamia kwe kile kichwaaa??[emoji23]
Looooh ni uzwazwa uliotukukaNyingi naona nyinyi ndio mnapenda mpigwe, kuna mmoja aliniambia jambo nikastaajabu ananiambia sababu ya umbali wa sasa anataka akija tuchukue video kabisa tukiwa tunakwichi kwichi maana kuna kipindi huwa anamisi ile mikuno, siku akijisikia apigie hata nyeto, maana nyeto za kunivutia hisia na kunitizama kachoka..
Nilichoka, nikajichekea mwenyewe.. Yupo radhi hata nivae mask... Sasa kama hapo wakulaumiwa ni nani!?
But still you know yourself whom you're... Na hazitumwi wakati huo wa "ulimwengu mwingine".Lakini mkuu pale mnapokua mnapiga game mnakua kwenye ulimwengu mwingine kabisa ata akili zinakua kama sio zile za kawaida labda ndio sababu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaa
Jolie Jolie una visaaaa
Nimecheka kwa sauti
ngoja waje dadaWanaume wa mkoani hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwingine anategesha camera kwa siri pembeni we hujui!
...
kosa hulijui kweliAmeniambia anataka kufanya biashara ya tumbaku huku Tabora kaliua niliko mimi, nikamwambia karibu, kasema anakuja pm. Namuuliza pm inakuwaje kuwaje mm sijui namna ya kuitumia anabaki ananishangaa ,kosa langu nini hapo? au kuuliza
Ndege wafananao huruka wakati mmoja.Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.
Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?
Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.