Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ikitokea anipige hata picha tu nikiwa uchi nijue namuua live kabla hajaisambaza, baada ya hapo natubu dhambi zangu
 
Hahaaaa. Lol.

Bora huwa unajiongeza rafiki sababu mimi kama mimi pia nimewaza kama wewe sababu saa nyingine hiyo simu yaweza pokelewa ikawa ya madeni ukajikuta ukitoka hapo huo mshedede ushasinzia sasa mpaka kuanza kuuamsha tena lol.

Ni vyema muda ule usiingiliane na jambo aiseee.
Teh teh Teh Teh Teh Teh...!
 
Back
Top Bottom