Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ungeweka thread ya kukemea hilo tukio na sio kuita wanawake wote wanaafiki
Una uhakika nilichangia hyo thread!?
Kwanini unaona wanawake pekee ndio wahanga wa haya matukio!? Na hili hata kichwa chako cha habari tu kinajieleza
 
Hivi majuzi nimesikia tetesi kuwa kuna kikundi cha wanawake wamepanga kutoa picha na video za wanaume waliotembea nao kwa lengo la kuwadhalilisha. Sasa unaweza kuwaza,wao hawapo sura zao? Kama wapo hawaoni kama na wao wanajidhalilisha pia. Na kama hawapo,nini maana ya kufanya hivyo?

Dunia hii ngumu sana

Victims wa hili ni wote (me& ke)
Hii dunia tulipofikia watu wamekuwa wakatili sana hasa kwa kutumia mitandao sio wanawake sio wanaume.

Lakini nashangaa bado kuna wajinga wanabeba ile notion ya kwamba eti wanawake ndio wanao onewa na wanapaswa kuonewa huruma! Upumbavuuu mtupu.

Binafsi mimi kama mtu amerekodiwa yeye bila kujijua nitamuonea huruma lakini kama amerekodiwa huku akifahamu kabisa alafu eti baadae zikivuja aanze kusema nilimwambia azifute! Kiukweli mimi nikatanzarau na kumuwasha Kofi.
 
Yani umeandika kwa hisia kweli. mbona umebadili ile avatar aisee?
 
Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.

sasa kwani nyie hamna akili zakusema noooooo
 
Kwanini unaona wanawake pekee ndio wahanga wa haya matukio!? Na hili hata kichwa chako cha habari tu kinajieleza
Kaka am sorry kama nishawahi kukukwaza kwa namna yoyote ile nsamehe sitamani tugombane,sipendi ugomvi,jf ni kama nyumbani,si Mara yako kwanza kunivaa as if una kisasi na Mimi!

So please if I have ever did anything to u intentionally or unintentionally please forgive me!

Life is too short to quarrel! Siwezi jua who u a!
 
Back
Top Bottom