Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Yaaa ww kama mm vile. Kuna siku nipo kinenani ke akaniuliza swali halihusiani na tukio linaloendelea pale, nilimtizama hadi aliniuliza vp mbona unaniangalia hivo? Nikamwambia onesha ushirikiano wako juu ya hili tunaloendelea nalo hapa - nilitaman nimpe boonge moja la kelbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mziki ukamkolea akaanza kutukana sasa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani looohhh!aiseeeh!aoneshe ushirikiano kwanza!
 
Wengine wanachukua simu anakupiga Picha ukiwa umelala siku mkiachana anaanza kusambaza kwenye mitandao kwa lengo la kukufedhehesha

Wanaume wenye hizi tabia msidhani ndo mbinu ya kumuangusha mwanamke aunt atakosa mpenzi mwingine mnajidanganya sana yani ukifanya hivyo ndo unamfungulia soko mwenzio
Demis hapo kwenye soko si umechapia eh?[emoji12] [emoji12]
 
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi kama wanawake akiwemo mleta mada.

Miezi kadhaa iliyopita tuliona video clip ikionyesha uume wa yule jamaa wa kujiita lemutuz na ilimletea fedheha kubwa sana mpaka Leo, cha ajabu waliokuwa wakiifurahia sana ile video clip ni wanawake niliona jinsi walivyokuwa wanaitana kwenye page mbali mbali ambazo ile video clip ilipokuwa inapositwa.

Binafsi nilipigwa na butwaa mpaka nikajiuliza hivi hawa ndio wanawake ambo kila siku huwa wanalia kuhusu kudhalilishwa na wanaume!? Mbona Leo hawa ndio wanafurahia udharirishaji wa kinyama kiasi hiki??

Na sikuona hata mwanamke yoyote humu akiukemea ule udharirishaji wa lemtuz zaidi ya kumbatiza jina la "lekibamiaz"

Kwa baadae nilikuja kuhitimisha duniani hakuna watu wenye roho mbaya na wabinafsi kama wanawake, na kama wangekuwa wana uwezo wa kutunyanyasa basi pengine hata wangetuondoa kabisa kwenye huu uso wa dunia.

Wanawake huwa wanaona ni uonevu pala ambapo ambapo uonevu huo unafanywa dhidi ya yao ila ikiwa kinyume na hapo kwao ni burudani, mfano ni huyu mleta mada yaani ameelezea utafikiri hayo matukio victims huwa ni wanawake pekee!! Roho mbaya tu ya kike ina msumbua.

Binafsi napinga udharirishaji wa aina yoyote ile haijalishi ni kwa mwanamke au mwanaume na hii ndio inatakiwa iwe campaign.
Ungeweka thread ya kukemea hilo tukio na sio kuita wanawake wote wanaafiki
Una uhakika nilichangia hyo thread!?
 
Nimeona mchangiaji mmoja anasema hizo video zikisambazwa ke anayehusika ndio anapanda dau
Mhh kwakweli cjawahi ona hivyo mkuu,,nijuavyo ni kwamba hata kama sura zote za me na ke zitaonekana ke ndo anadhalilika zaidi na ipo hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu hatuwezi pinga.

Mwanamke anaejiheshim ndo huwa anapanda dau lakini anaejidharirisha au kuruhusu afanyiwe udhalilishaji basi hatoheshimiwa. Au labda hajar anisaidie
 
Mhh kwakweli cjawahi ona hivyo mkuu,,nijuavyo ni kwamba hata kama sura zote za me na ke zitaonekana ke ndo anadhalilika zaidi na ipo hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu hatuwezi pinga.

Mwanamke anaejiheshim ndo huwa anapanda dau lakini anaejidharirisha au kuruhusu afanyiwe udhalilishaji basi hatoheshimiwa. Au labda hajar anisaidie
Mimi binafs naumia na tukio hiloo na halitonipandisha litanishusha
 
Hivi majuzi nimesikia tetesi kuwa kuna kikundi cha wanawake wamepanga kutoa picha na video za wanaume waliotembea nao kwa lengo la kuwadhalilisha. Sasa unaweza kuwaza,wao hawapo sura zao? Kama wapo hawaoni kama na wao wanajidhalilisha pia. Na kama hawapo,nini maana ya kufanya hivyo?

Dunia hii ngumu sana

Victims wa hili ni wote (me& ke)
Hawa wanawake wa sikuhz cjui nao wameanza kuwaza kwa kutumia nn daah
 
Back
Top Bottom