Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Kaka am sorry kama nishawahi kukukwaza kwa namna yoyote ile nsamehe sitamani tugombane,sipendi ugomvi,jf ni kama nyumbani,si Mara yako kwanza kunivaa as if una kisasi na Mimi!

So please if I have ever did anything to u intentionally or unintentionally please forgive me!

Life is too short to quarrel! Siwezi jua who u a!
Hii comment yako imenishtua kidogo, mpaka najishangaa. Hata sielewi ni kwanini umefika huku.

Mbona mimi nimechangia mada bila hata kutoka kwenye content yenyewe ambayo ni udharirishaji? Nimeona kuna mapungufu kwenye mada yako ambapo nikafanya kama kukumbusha hivi. Lakini cha ajabu naona umeichukulia tofauti

Alafu humu sina bifu na mtu yeyote, hata sijui kama nimewahi kukujibu vibaya sehemu. Mimi humu huwa nachangia mada bila hata kuangalia majina ya watu na huwa sikalili kabisa.

Sasa naomba huo msamaha wako uufute alafu uniruhusu mimi ndio nikuombe msamaha kwa kuku umiza kihisia kiasi kwamba mpaka Leo unakumbuka. Nisamehe sana.

Na pia naomba niseme kwanzia Leo hili jina lako nime linote na nitajitahidi kuepuka mada zako hili nisije nikakuumiza tena. Nisamehe sana binti/mama sitorudia tena kukukosesha furaha hapa JF.
 
Wala usikwepe mada ila si vizuri kukashifu au kukejeliana tupo kuelimishana hapa hata km tunatofautiana kimawazo!

Wengi wametoa mawazo tofauti ila si kwa kashfa!
Haina haja ya kukimbia mada zangu!

Nimekuambia kwa sababu hua sipendi kukwazana ningeweza kureact in a way ulivyorespond but no sijafanya kwa kua sipendi vurugu!

Humu tupo kujengana na kuelimishan na pia kujifunza!

Am sorry again
 
Halafu wngne wanaficha vibamia vyao, wanaonesha papuch za watu. Si tabia nzur washkaj
 
Yan pale dem anakuw ulimwengu mwengine. Kubwa anajua kuna kajamaa kamemganda tu.
 
Acha wachukuane na kupostiana kwa utash wao. Unalalamika unadhan wataacha ujinga wao kwa kulalamika ww. Kwako ni aibu kwao ni heshima kubwa sana
 
Wala usikwepe mada ila si vizuri kukashifu au kukejeliana tupo kuelimishana hapa hata km tunatofautiana kimawazo!

Wengi wametoa mawazo tofauti ila si kwa kashfa!
Haina haja ya kukimbia mada zangu!

Nimekuambia kwa sababu hua sipendi kukwazana ningeweza kureact in a way ulivyorespond but no sijafanya kwa kua sipendi vurugu!

Humu tupo kujengana na kuelimishan na pia kujifunza!

Am sorry again
Sawa binti na mimi nahaidi kutokukashifu mtu tena humu yaani kwanzia Leo nitabadirika.
 
Back
Top Bottom