ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,077
hahahah dada nisikuone huku[emoji188][emoji188]Hahaaaa. Lol.
Bora huwa unajiongeza rafiki sababu mimi kama mimi pia nimewaza kama wewe sababu saa nyingine hiyo simu yaweza pokelewa ikawa ya madeni ukajikuta ukitoka hapo huo mshedede ushasinzia sasa mpaka kuanza kuuamsha tena lol.
Ni vyema muda ule usiingiliane na jambo aiseee.