mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,808
- 45,697
Hivi pm inatumikaje mbona mm sijui jaman! nielekeze bas nakuombahalafu acha kunichuuza hapa mbele za watu ujue[emoji15][emoji15][emoji15]
Hivi pm inatumikaje mbona mm sijui jaman! nielekeze bas nakuombahalafu acha kunichuuza hapa mbele za watu ujue[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji39] [emoji12]Kile kichwa ni kitamu sanaa lakinii sio kutumia kufikiri kile ni kuhudumia tu jinsia ke na kujisaidia baasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha kisa kamiona nyie ndo kaamua kunikacha looh mbaliz Mungu anakuona haki vileMsianze hapaaa[emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] nendeni mkayajenge hukoo PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetugundua hata wewe kumbe eeMsizuge hapa ukhty [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Una lengo gani na ukhuty mkuuHivi pm inatumikaje mbona mm sijui jaman! nielekeze bas nakuomba
haya njoo nyumban basi nikuelekzeHivi pm inatumikaje mbona mm sijui jaman! nielekeze bas nakuomba
Tatizo kutokujua tu, nielekeze bas ukhuty pm inakuwaje kuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha kisa kamiona nyie ndo kaamua kunikacha looh mbaliz Mungu anakuona haki vile
hilo tu wala sio kubwaTatizo kutokujua tu, nielekeze bas ukhuty pm inakuwaje kuwaje
wanaume hawa asante mbalizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] nashangaa anakuchenjia jamani looh
Ila pia wanawake wakipenda huwa wanaweza kufanya chochote maana mtu unaweza ukamwambia akutumie pic amevaa sidiria na akatuma na hapo yupo Mwanza mwanaume yupo Singida (hizi teknolojia kwa vijana wetu wanazichukulia vibaya)Labda wakukua hawajui mkuu
Ameniambia anataka kufanya biashara ya tumbaku huku Tabora kaliua niliko mimi, nikamwambia karibu, kasema anakuja pm. Namuuliza pm inakuwaje kuwaje mm sijui namna ya kuitumia anabaki ananishangaa ,kosa langu nini hapo? au kuulizaUna lengo gani na ukhuty mkuu
mim natak hiyo biashar ya tumbaku tu nipewe elimu yake mbalizi mwanafunz wako nip hapaUna lengo gani na ukhuty mkuu
ngoj nijiondokee zangu kabisa nimeghair dadSana tuu nendeni PM tu
Ndo namshangaa sasa biashara tu ajifanye na pm haijui au ndo akili yake ishahamia kwe kile kichwaaa??[emoji23]mim natak hiyo biashar ya tumbaku tu nipewe elimu yake mbalizi mwanafunz wako nip hapa
Ujue kuuliza sio ujinga. Isije kutokea kanijia huko pm mm nikawa sijui kwa ushamba wangu wa kutokujua pm inatumikaje akajua labda nimeamua kumpotezea[emoji23] [emoji23] [emoji23] nashangaa anakuchenjia jamani looh