Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ntaibutua hyo sim kulee
Yaaa ww kama mm vile. Kuna siku nipo kinenani ke akaniuliza swali halihusiani na tukio linaloendelea pale, nilimtizama hadi aliniuliza vp mbona unaniangalia hivo? Nikamwambia onesha ushirikiano wako juu ya hili tunaloendelea nalo hapa - nilitaman nimpe boonge moja la kelbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mziki ukamkolea akaanza kutukana sasa!
 
Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
Kumbe Nandy ni mwanaume?
 
Hamnaga hayo mambo alafu ifike wakati watu waache kuamini kuwa mapenzi ni upofu ukipenda maovu huoni,,hii si sawa huwezi nirekodi kabisa hyo sim itakua marehem kabisa

Hapo wanawake inabidi muwe na misimamo sio kujilegeza legeza kwenye mambo ya kijinga.

Mwanzo waweza kukataa lakini baada ya muda unakubali, na mkumbuke wanaume tunaroho ngumu kuliko zenu hata kama picha zikisambaa bahati mbaya aibu sana sana kwenu wanawake
 
Yaaa ww kama mm vile. Kuna siku nipo kinenani ke akaniuliza swali halihusiani na tukio linaloendelea pale, nilimtizama hadi aliniuliza vp mbona unaniangalia hivo? Nikamwambia onesha ushirikiano wako juu ya hili tunaloendelea nalo hapa - nilitaman nimpe boonge moja la kelbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mziki ukamkolea akaanza kutukana sasa!
mmmmh nahisi hii simu huko nayo mrudishie upesi mwenye simu yake
 
Yaaa ww kama mm vile. Kuna siku nipo kinenani ke akaniuliza swali halihusiani na tukio linaloendelea pale, nilimtizama hadi aliniuliza vp mbona unaniangalia hivo? Nikamwambia onesha ushirikiano wako juu ya hili tunaloendelea nalo hapa - nilitaman nimpe boonge moja la kelbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mziki ukamkolea akaanza kutukana sasa!
Hahaha mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi kama wanawake akiwemo mleta mada.

Miezi kadhaa iliyopita tuliona video clip ikionyesha uume wa yule jamaa wa kujiita lemutuz na ilimletea fedheha kubwa sana mpaka Leo, cha ajabu waliokuwa wakiifurahia sana ile video clip ni wanawake niliona jinsi walivyokuwa wanaitana kwenye page mbali mbali ambazo ile video clip ilipokuwa inapositiwa
......................................

Wanawake huwa wanaona ni uonevu pala ambapo ambapo uonevu huo unafanywa dhidi ya yao ila ikiwa kinyume na hapo kwao ni burudani.

Hivi majuzi nimesikia tetesi kuwa kuna kikundi cha wanawake wamepanga kutoa picha na video za wanaume waliotembea nao kwa lengo la kuwadhalilisha. Sasa unaweza kuwaza,wao hawapo sura zao? Kama wapo hawaoni kama na wao wanajidhalilisha pia. Na kama hawapo,nini maana ya kufanya hivyo?

Dunia hii ngumu sana

Victims wa hili ni wote (me& ke)
 
Back
Top Bottom