Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ujue ni nini rafiki. Yule aliyeiweka ndio anakuwa wa kwanza kumsukumizia kule ambapo ipo hiyo kamera hivyo sidhani kama itakuwa ngumu kuiepuka wakati ameshajua ilipo rafiki.

Kwa asilimia fulani inawezekana sana rafiki.
Kuna clip Jana nimerushiwa mdada anatiwa [emoji85] [emoji85] dhahiri yule hajui!aibuuu!jamani siwezi!
 
Hapa tatizo lipo kwa wote,anaerekodi na anaerekodiwa.Mwanamke unakubalije kuchukuliwa video hata kama isiporushwa.Na mwanaume unachukua video kwa lengo lipi?
Hivi kile kitendo kilivyo na raha huo muda wa kuchukuana video unatoka wapi badala watu muusikilizie utamu?
Mi kwa kweli muda wa kukwichi simu zikae mbali tu kwa kweli

Naunga mkono hoja mkuu upo sahihi
 
Ujue kutiana mkiamua kujifungia ipasavyo mkatulia vizuri hadi mkatokwa na maneno ya lugha hata hamjui mnaongea nini yataka faragha sana. Sasa mara simu inaita, mara huyu anapiga picha, mara anarecord- muda huo sina kwakweli ni bora tu nit0mBe godoro khaaa!
[emoji23] ni heri utoboe kashimo kwenye godoro
 
Hapa tatizo lipo kwa wote,anaerekodi na anaerekodiwa.Mwanamke unakubalije kuchukuliwa video hata kama isiporushwa.Na mwanaume unachukua video kwa lengo lipi?
Hivi kile kitendo kilivyo na raha huo muda wa kuchukuana video unatoka wapi badala watu muusikilizie utamu?
Mi kwa kweli muda wa kukwichi simu zikae mbali tu kwa kweli
Mbali mita 100
 
Nakazia
 
Habarini waungwana!

Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.

Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?

Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!

Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!

Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!

Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?

Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!

Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?

Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
ZILE ZA NANDY NANI ALIMPIGA NA KUZISAMBAZA?
 
Back
Top Bottom