maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,136
- 3,879
Na kweli kabsaaHahaaaa. Akajisemea Mbalizi hawajui kupeana raha za dunia hao. Koh koh
Na kweli kabsaaHahaaaa. Akajisemea Mbalizi hawajui kupeana raha za dunia hao. Koh koh
bora basi nipeko mbili tatu kuhus hiyo biashar na mimiMi mwenyewe nipo kaliua huku tunajiandaa kwa masoko ya tumbaku
Na hapo ndo pakuwa zaidi na mtu makini dear maana dunia imekwisha sasaMimi binafs naumia na tukio hiloo na halitonipandisha litanishusha
hahahah sawa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na nyie mnakua wadogo zetu
Hahaaaaa. Hata wadogo wanatakiwa ili nao wajifunze mdogo wangu.pa wakubwa hapa dada
Niko poa kabisa mie.nipo dada niambie
mmmmhHahaaaaa. Hata wadogo wanatakiwa ili nao wajifunze mdogo wangu.
Biashara ya Tumbaku naifananisha na ile ya dawa za kulevya ,ni biashara ya ajabu ajabu sana. Bora ulime mpunga au kufuga tu hii inaweza ikakupa uchizi yaanbora basi nipeko mbili tatu kuhus hiyo biashar na mimi
msalimie davetNiko poa kabisa mie.
nataka hiyo hiyo usininyime mambo mazur banaBiashara ya Tumbaku naifananisha na ile ya dawa za kulevya ,ni biashara ya ajabu ajabu sana. Bora ulime mpunga au kufuga tu hii inaweza ikakupa uchizi yaan
Kabisaa maana wanaume akili zao si unazijua atakurekodi kwa mapenzi,,Siku hamu zikimpanda amekosa jike hapo akili zinahamia kwe kichwa kidogo lazima udhalilishwe tuSanaa anaejielewa na kujitambua sio magume gume ya mjini hayaa
At your own risknataka hiyo hiyo usininyime mambo mazur bana
hakuna shidaAt your own risk
Usigune mdogo wangu sie tushajua madhara yake tayari bado nyie wadogo.mmmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa kidogo chenye jicho moja na kisicho na pua wala masikio ndo utajuta sasa!Kabisaa maana wanaume akili zao si unazijua atakurekodi kwa mapenzi,,Siku hamu zikimpanda amekosa jike hapo akili zinahamia kwe kichwa kidogo lazima udhalilishwe tu