Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.

Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?

Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.
Hahaha shoga ndo habari hyo wanaitumia kama defensive mechanism
 
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi kama wanawake akiwemo mleta mada.

Miezi kadhaa iliyopita tuliona video clip ikionyesha uume wa yule jamaa wa kujiita lemutuz na ilimletea fedheha kubwa sana mpaka Leo, cha ajabu waliokuwa wakiifurahia sana ile video clip ni wanawake niliona jinsi walivyokuwa wanaitana kwenye page mbali mbali ambazo ile video clip ilipokuwa inapositwa.

Binafsi nilipigwa na butwaa mpaka nikajiuliza hivi hawa ndio wanawake ambo kila siku huwa wanalia kuhusu kudhalilishwa na wanaume!? Mbona Leo hawa ndio wanafurahia udharirishaji wa kinyama kiasi hiki??

Na sikuona hata mwanamke yoyote humu akiukemea ule udharirishaji wa lemtuz zaidi ya kumbatiza jina la "lekibamiaz"

Kwa baadae nilikuja kuhitimisha duniani hakuna watu wenye roho mbaya na wabinafsi kama wanawake, na kama wangekuwa wana uwezo wa kutunyanyasa basi pengine hata wangetuondoa kabisa kwenye huu uso wa dunia.

Wanawake huwa wanaona ni uonevu pala ambapo ambapo uonevu huo unafanywa dhidi ya yao ila ikiwa kinyume na hapo kwao ni burudani, mfano ni huyu mleta mada yaani ameelezea utafikiri hayo matukio victims huwa ni wanawake pekee!! Roho mbaya tu ya kike ina msumbua.

Binafsi napinga udharirishaji wa aina yoyote ile haijalishi ni kwa mwanamke au mwanaume na hii ndio inatakiwa iwe campaign.
 
Back
Top Bottom