Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Mi kwa kweli I can't do that na nilifikiri kwa hali ilivyo basi wanawake sie ndo tunapaswa tulikemee hili jambo
Mimi usipofanya nitaheshimi na ukifanya nitaheshimu, mbaya ni yule mvujishaji awe me ama ke huyu ndio ninaemchukia mie.
 
Dah! Wanawake ni wahanga wakubwa mno wa haya mapenzi. Ni vigumu mno kufahamu wanaangukia kwenye mikono salama kiasi gani.

Yawezekana kuna vitisho vya aina fulani. Yani tusipochukua video, ndio mahusiano yanaishia hapa, na mambo kama hayo. Hii ni kwa sababu wanawake sana hali ya kubembeleza mahusiano. Hivyo ni rahisi mno kurubuniwa.

Hata hivyo, vyovyote iwavyo, kuchukua video wakati wa faragha ni ujuha, ulimbukeni, uzwazwa, ushenzi, ubaradhuli, upumbavu uliokithiri. Acheni hizo!

Angalizo.
Usijekuta huko mnapochepukia pia kuna mikamera inawamulika, halafu mkabaki kushikana mashati.
 
Umezifanyia na maboresho bila shaka.

Mpongeze sasa aliyeirusha hiyo video- hizo skills ungezipataje
Niko kwenye mazoezi loooh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kila siku mambo yanachangeee
 
Mpunguze mahaba ya kuturidhisha sisi wanaume aidha kwa mapenzi au kwa lengo la kupata chochote. Kila binadamu ana kichaa chake,hata yule unayemheshimu vipi kwa wakati huo anacho kakificha.

Pia nasikia nanyi(baadhi siyo wote) mnafurahia mambo ya kizungu. Kumbuka wenzetu tamaduni zao wengine hata hawazijui na wale tunaowaona ni walio na msongo au waliolewa sifa.

***Naomba pia wakumbushe wanawake wenzio wanaodhalilisha mama zetu huko fb na instagram wawe na speed governor,maana nao ni mama wa kesho pia***


Si tabia mjema kufanywa na jinsianyoyote ile.
 
Mkuu mimi huwa sizidiliti muda huo huo nakaa nazo kidogo kwa muda kama wa siku mbili hiv halafu nazifuta.

Anakutumia sms ya kawaida ingia Wassap kuna kitu nimekutumia ukiingia unakutana nazo hizo wadada wenyewe mbili sometimes hazimo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee!mbaya sana hii
 
Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.

Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kurekodiana video muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.

Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
Kuna mmoja niliona pamoja na kulalamika kote lakini kumbe wote walikuwa busy kurekodiana. Tupunguze uzungu
 
Mi kwa kweli I can't do that na nilifikiri kwa hali ilivyo basi wanawake sie ndo tunapaswa tulikemee hili jambo
Mtalikemea vp ilhali nyegge zikiwakamata mkikumbuka tunavowasugua viharage hivyo mnajipiga picha za uchi mnatutumia kisha mnatutext( ingia whats up kuna picha/ video nimekutumia) kuingia kuangalia ndio hivo tena tunawaona jinsi mnavojitia vidole mmelowana chepe chepe .
 
Nadhani ni ukosefu wa ubinadamu sababu walio wengi huwa wanaitumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hasa pale wanapokuwa wameachana.

Pia kwa mbaali huwa siibariki hii tabia ya kurekodiana video muda wa yale majambo sababu sioni kama kuna faida.

Mie naona hayo mambo tuwaachie wale wafanya biashara wa hizo video za Ngo*o.
miss u
 
Mpunguze mahaba ya kuturidhisha sisi wanaume aidha kwa mapenzi au kwa lengo la kupata chochote. Kila binadamu ana kichaa chake,hata yule unayemheshimu vipi kwa wakati huo anacho kakificha.

Pia nasikia nanyi(baadhi siyo wote) mnafurahia mambo ya kizungu. Kumbuka wenzetu tamaduni zao wengine hata hawazijui na wale tunaowaona ni walio na msongo au waliolewa sifa.

***Naomba pia wakumbushe wanawake wenzio wanaodhalilisha mama zetu huko fb na instagram wawe na speed governor,maana nao ni mama wa kesho pia***


Si tabia mjema kufanywa na jinsianyoyote ile.
Ahsante
 
Back
Top Bottom