Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Mechi ya kesho nipo na Mjerumani mwanzo mwisho!!!!
100... Pamoko....
Mechi ya kesho nipo na Mjerumani mwanzo mwisho!!!!
I'm telling you. Tafuta historia ya mechi rasmi za Spain na Ujerumani utahakikisha ninachokwambia.
acheni kujivunia mechi za kirafiki,mechi inachezwa huku wachezaji j1 kuna el classico,spain ya sasa inatisha kaka,na leo italy anamchapa ujerumaniMpira hauchezwi kwa historia mkuu. Dimba na dakika 90 ndiyo mwamuzi.
Ingekuwa hivyo basi jana Ureno wangepewa nafasi kubwa ya kushinda,kwani mara ya mwisho kukutana na Hispania,Hispania walipigwa goli 4.
Pia ingekuwa historia ndiyo mwamuzi,Uholanzi wasingetolewa katika raundi ya kwanza,tena kwa kupigwa game zote 3!
Ndiyo nikasema tutaona.
ujerumani lazima aage leo,halafu j2 piga ua galagaza ntakufunga hata kwa kurusgha shilingi nikikukosa dk 90,120 na kwenye penati,viva espana glacious!forza Italia....
kaka nilikuwa uwanjani,siwezi kuwakosa wekundu wa spain,ni kama manolo el del bombo vile,in spain we trust always,you are welcome!balantanda heshima yako nguli mwenzangu...
Nawaulizia Mamamia na Gutierez umewaona wapi?
:teeth: hahahahaha no comments!Mamammia naomba iniitie Gutierez aje kuitaja mitaa ya Valencia, na Catalan bila kusahau aje aielezee tena historia ya yule shabiki aliekosa mechi moja baada ya kuugua flu
Haya ni maneno yangu niliyasema nyuma "Ujerumani kikomo kimefika alhamisi,italy tayari final,spain mhh hawa ureno wapinzani we2 wa jadi yaani iberia derby,mechi ngumu,ili nategemea final itakuwa spain vs italy na lolote linaweza kutokea hasa kwenye matuta,wajerumani wamenuna sana jana kibonde wao england kutolewa".na Manolo el del Bombo kwa wale wote watu wa ulabu popote duniani haijalishi rangi,jinsia wala umri,Manolo ktk pub yake mestalla jijini Valencia katoa ofa ya pombe bure ikiwa ni furahi ya kuingia final,kuhusu ujerumani yaani weupe sana kwetu,mimi nawahofia italy na ninaipa nafasi kubwa italy kutimba final,wajerumani usiwe washamba nao siku zote ni wanaanza na kasi halafu inaishia,pekua rekodi 2006 world cup kwao,2008 euro,2010 world cup na sasa leo itakuwa kikomo chao najua kwa 95%,Gang Chomba karibu haya na wewe rindima hapa mitaa ya mabuluda Milan,Turin kuanzia FIAT company hadi kwa ex prime minister Berlusconi!Chifu weka unazi pembeni. Hivi Hispania katika michuano hii wamecheza nini? Bingwa wa dunia anayecheza kwa kujihami? Analundika viungo bila kuwa na mshambuliaji? Wamefika fainali kwa bahati.
Na akina ya nani wakikutana na Ujerumani....
Spain straight wapo fainali. No way Portugal wakaresist uwezo mkubwa wa Spain. Na hii formation aliyokuja nayo Del Bosque ya 4-6-0 ni balaa. Hii formation itawasumbua sana pia Wajerumani katika mechi ya fainali hapo tarehe 1 July.
Haya ni maneno yangu niliyasema nyuma "Ujerumani kikomo kimefika alhamisi,italy tayari final,spain mhh hawa ureno wapinzani we2 wa jadi yaani iberia derby,mechi ngumu,ili nategemea final itakuwa spain vs italy na lolote linaweza kutokea hasa kwenye matuta,wajerumani wamenuna sana jana kibonde wao england kutolewa".na Manolo el del Bombo kwa wale wote watu wa ulabu popote duniani haijalishi rangi,jinsia wala umri,Manolo ktk pub yake mestalla jijini Valencia katoa ofa ya pombe bure ikiwa ni furahi ya kuingia final,kuhusu ujerumani yaani weupe sana kwetu,mimi nawahofia italy na ninaipa nafasi kubwa italy kutimba final,wajerumani usiwe washamba nao siku zote ni wanaanza na kasi halafu inaishia,pekua rekodi 2006 world cup kwao,2008 euro,2010 world cup na sasa leo itakuwa kikomo chao najua kwa 95%,Gang Chomba karibu haya na wewe rindima hapa mitaa ya mabuluda Milan,Turin kuanzia FIAT company hadi kwa ex prime minister Berlusconi!
kaka Ujerumani ni uozo kwa Spain!,hata world cup 2010 tulianza kwa kufungwa bwana Nzi au umesahau spain hiyohiyo inatisha kwa bao 1 mpaka mwisho,na kitu nachojivunia mpaka sas ni Antonio di Natalia ndie alieweza kutingisha nyavu za Iker Casillas Fernandez
Hapo red, ushawahi ona wapi bingwa anaishia nusu fainali ndugu yangu !!!! Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!! :dance:
Sina details nyingi Mkuu wangu, isipokuwa za hii miaka minne, hasa miwili 2008-2010, i.e katika mashindano ya EURO 2008 na World CUP 2010, ambapo Italy na German walicheza na Spain, ONLY THAT.Una Details za soka?
Au kwa kuwa Bundle umenunua wewe, keyboard unayo wewe basi unajiandikia tu?
Ninakubaliana sana na wewe Mkuu, kuwa mpira hauchezwi kwa historia, vyenginevyo tangu mashindano haya kuanza 1960 basi Russia (wakati huo USSR) wangeendelea kushikilia kombe hadi leo, lakini katika mashindano ya 1964 walinyang'anywa kombe na hawa unaowaita waremberemba mpira - ha ha ha!.Mpira hauchezwi kwa historia mkuu. "Dimba na dakika 90 ndiyo mwamuzi".
Ingekuwa hivyo basi jana Ureno wangepewa nafasi kubwa ya kushinda,kwani mara ya mwisho kukutana na Hispania,Hispania walipigwa goli 4.
Pia ingekuwa historia ndiyo mwamuzi,Uholanzi wasingetolewa katika raundi ya kwanza,tena kwa kupigwa game zote 3!
Ndiyo nikasema tutaona.
Naomba shahidi awe Balantanda...
Wewe penga Kamasi mi naweka Dola 100 nina uhakika Buluda lazima amkamue mjerumani kama tulivyofanya miaka 16 ilopita...
Jokes
magazeti makubwa ya michezo ya nchini Italia Gazzetto delo Spot na il Corriero delo spot yameripo...........
hah hah ha Gutierez is back...