Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Xavi Hernandes anatoka,anaingia Pedro Rodriguez....

Hii ya leo kweli kali.....Mpaka mtaalamu Xavi kachemsha
 
What a WASTE from RONALDO...... That was a Game OVER Chance....
 
Duh....Huyu Refa na kazi....

Yellow card kwa Miguel Veroso...

Mpira umekwisha ngoma bilabila
 
This is POR win to snap.... But they are not using their chances ipasavyo...
 
Gemu ngumu Mkuu! Niwe mkweli, Portugal wamejipanga na wanashambulia zaidi kuliko Spain, hata hivyo bado nina imani na Spain.
Na walichokifanya ni kuvuruga kiungo cha Spain......Leo Xavi kachemka kweli....

CR7,Pepe na Coentrao wanawajua vizuri sana Spain....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom