Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Dakika ya 30Germany 0-1 Italy
Kwanza subiri German warejeshe hilo bao.lazima mmoja afe kwenye hii mechi ikiwezekana hata kwa matuta
Ngoma inaweza lala hivihivi hii.....
Umejificha nini Mkuu?, toka mafichoni timu yako inaongoza!magazeti makubwa ya michezo ya nchini Italia Gazzetto delo Spot na il Corriero delo spot yameripo...........
Duh! Huju jamaa kweli SuperMan!